Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
just imagine unatoka kazini umechoka mkeo kasafiri umebaki na housegirl tu nyumbani na watoto wapo boarding unamkuta mtoto wako wa kazi nyumbani katika vazi hili jamani hapo inakuaje...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeamini ukiwa na nyota ya punda shukrani ni MATEKE yapta wki mbili toka niachae na mpz wngu baada ya kuona dalili za kunichoka na nlipomweleza mambo yake aliniambia kuwa ana HISI ya kimapenzi na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ukiangalia kwa makini kwenye vidole vya wanandoa utagundua kuwa wanaume wengi hawapendelei kuvaa pete za ndoa, huku wanawake wengi wanapendelea kuvaa pete hizo unakuta anazo mbili ya uchumba na...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
ninaye jirani yangu mahali ninapoishi kanijia na kisanga kilichomkuta,in short amekuta meseji za mapenzi kwenye simu ya mumewe na baada ya kufanya uchunguzi akagundua kuwa ni kweli mumewe alikuwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nawapenda wasichana warembo ila sina pamba za kuwafanya wanipende je nifanyeje??
0 Reactions
16 Replies
3K Views
nimeoa mwanamke aliyeisha olewa zamani na akaachika, maelewano na masikilizano ndani ya nyumba mwanzo yalikuwa mazuri, ukorofi ukaanza ghafla, akashika mimba akaenda itoa kisha akadai imetoka...
0 Reactions
80 Replies
8K Views
Swali:- Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa? Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo? Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimejikuta nakumbuka enzi zangu za utoto..utundu...ukorofi na uchokozi kwa sana nikaona nishee na kakaz pamoja na dadaz zangu wa JeiEff....bila kukosa zenu!!! Nakumbuka darasa la tano rafiki...
0 Reactions
107 Replies
11K Views
Kuna sehemu nilisoma maneno flani hivi “mapenzi siku hizi ni kama magazeti” Haya maneno humanisha jinsi gani gazeti linavyotumika, sijui linaweza kusomwa na watu wangapi kwa siku. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mom came to visit her son Shelukindo for dinner...who lives with a girl roommate Mamweta in a nearby residential area... During the course of the meal, his mother couldn't help but notice...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pastor; ifthere is anybody here that does not want this couple to be joined together in holy matrimony, he or she should speak out now." A man from the extreme of the church stood up and...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa offline kwa siku kadhaa hawa watu nimewamiss kweli. Wazima wote Nawapenda sana. Baba_Enock Finest St. RR Bigirita GY Asprin Wise Lady Smiles Kimey Dark City Afrodenzi First Lady First...
0 Reactions
345 Replies
17K Views
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivihutu tu sentence...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Binafsi mimi ni mgeni jukwaa hili lakini katika pitapita zangu gp nimeikuta hii ikanikuna, hebu tuijadili: Mambo kumi yanayoweza kufanya mwanaume akuache Bila shaka u mzima wa afya mpendwa...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Goodmorning to you all...... Ni matumaini yangu kuwa nyote mpo salama.....nimewamiss kimtindo! Mimi I have got one question - Is it appropriate for a lady to send a guy flowers on his...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Napendekeza tuandae JF Valentine's Day. Najua kuna wengi wamekutana kupitia forum hii na itakuwa fresh sana kuwaenzi waanzilishi wa jamvi hili kama tutakutana wapendanao wa JF na kufahamiana zaidi...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye elimu ya uzamili, na ninaf anyakazi katika benki. Sijaoa na siku zinazidi kwenda na ningependa kuwa na familia. Kiumbile mimi ni mpana kiasi, sio menene. Nakunywa kidogo...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
NINI KIMEMKUTA??? NAONA KAPIGWA-BAN View Profile: Maria Roza - JamiiForums |The Home of Great Thinkers
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Love is the emotion of strong affection and personal attachment Je unaweza ukafall for Kindness, Understanding, and Good Qualities without physical attraction ? Now Since Physicall attraction...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…