WanaJF mambo vp ni muda sasa yapata toka niachwe kwenye mataa mwaka jana cku moja kabla ya valentine day baada ya ex-mpenz wangu kunipga chn bila tatzo?.
Nakumbuka ilikuwa sa nne cku moja kabla...
Huyu binti nlimpenda sana, I have never been this honest katika mahusiano yoyote nliyokua nayo before. Aliniaga anakwenda chuo Tabora. Kama wiki mbili zilizopita,nikampa baraka zangu zote...
s.aleykum....... akhbari zenu myoooote kwa ujumla ??? naituma post hii kwa mashaka na ghofu iliyoitawala nafsi yangu...... kama nilivyowajulisha awal nilikutwa na heart attack.....leo ile siku...
Wana JF kuna lile tangazo la kondom la salama mi naona linahamasisha ngono kwa jinsi msichana anavyowaza ngono na kujiandaa kwa shughuli hiyo,isitoshe binti mwenyewe mrembo...
What do you think is a soulmate? Have you ever met your soulmate? How did you know?
I do not believe that soulmates are actually a split of one soul reincarnated. I do believe that there are...
Jamaa amewekewa "thong" -tena chafu -kwenye laptop case yake (anasema hamjui aliemuwekea wala muda iliowekwa). Karudi nyumbani mamsapu akataka kutumia laptop ya mzee, hamad kakutana na hiyo...
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale...
Nilikuwa napitia kitabu kinachoitwa This is love. Mwandishi wa kitabu hicho anasema iwapo watu wa jinsia mbili tofauti na wasio na undugu wowote, na kama wanakaa ofisi moja huku viti vyao vikiwa...
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za...
Wana ndoa wengi wamekuwa wakikutana na changamoto nyingi sana ndani ya ndoa zao na wengi wamekuwa wakikimbilia kuombana msamaha au kusameheana kama njia ya kuokoa ndoa hizo. Lakini sidhani kama...
nataka kuitwa wifi hadi nichoke mwaka huu!
nataka kula pilau la harusi,
nataka kupiga vigelegele hadi koo likauke ndio maana mabinamu zangu especialy those single ones nawaletea vifaa ambavyo...
Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii.
Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?
Jamani wanaMMU wote walio na mapenzi na the one and only..our very own Rev Masa and my very own baba mchungaji naomba tushiriki kumkaribisha nyumbani!!
Leo jioni anarudishiwa uhuru wake rasmi so...
:bump:
Waungwana wa JF, plz nipeni mwongozo wa ku-access jukwaa la wakubwa.Lengo: Nataka kupost mada "Privacy" ili nipate ushauri wa haraka.
Thanx kwa kunisoma.
Huyu Dada amekuwa ni mwingi wa mawazo akijiuliza maswali yasokuwa na majibu ..na kujikuta anakosa amani
Ni takribani miezi miwili sasa ,mpenzi ,mchumba ,husband to be wake amekuwa kila mara...
Porn loving father gets the wages of sin
By Anthony Ngira
A 55-year-old porn addict recently broke down and wept at a pub in Limuru town when he recounted to fellow drinkers how he had purchased...
Wandugu, hii habari nimeicopy sehemu, ila nimeamua kuiweka hapa kutokana na jinsi ilivyoendeshwa sivyondivyo, Je hawa watu wanjyonge kweli watapata hakiz zao kisa pesa za wenye navyo? Police...
Jamani huku vijijini kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukimbia na kwenda mjini kwa kisingizio cha kwenda kutafuta maisha. Lakini sasa imekuwa ni kero kwa baadhi ya vijana wa kiume waliooa...