Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Najua simpendi, bali nimemtamani.... lakini nataka nifanye naye ...... sitaki kumpa pesa, na sitaki kubaka.... je, nimpateje bila kumwambia "nakupenda"?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu binafsi?!.... Awali ya yote napenda sana kumshukuru sana MAANANI,kwani ni yeye pekee anaetuweka mimi na wewe DUNIANI.Natumia Fursa hii adimu kuwashukuru sana wetu mimi na wewe...
1 Reactions
325 Replies
17K Views
Ninaomba facilities za DNA test zifikishwe kwenye vituo vya angaza na mahospitalini, na sharti la kupitia mahakamani liondolewe...! Hata basi kwa vipimo vya siku zijazo tu.....
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba mawazo yenu wana JF ni kwa nn wanawake wengi huwa wanawasamehe wapenzi wao pindi wanapowafumania tena bila shida huku wanaume inakua kazi kuwasamehe wapenzi wenu mkiwafumania?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
From the deepest part of my heart,nachukua this opportunity to just let out kitu ambacho most ladies see hapa JF. Kuna topic ambazo honestly zinadisrespect wanawake,sometimes unjiuliza hivi mtu...
0 Reactions
95 Replies
6K Views
Katika pitapita zangu club kuna usiku moja nikipata moja moto moja baridi kaunta akaja binti mmoja 'kaka naomba na mimi uninunulie moja' nikamnunulia na tukawa tunaongea,ana miaka 19 na ni...
0 Reactions
49 Replies
39K Views
Ili kuimarisha ndoa, kutokuelewana is part of it maana ni pale unaweza kuona reaction za mwenzako na pale ndipo ukweli husemwa na kila mmoja hubaki akiufikiria baada ya kutoelewana. Cha msingi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja aliachana na mumewe, sababu alizozitoa ni kuwa mumewe alipata mwanamke mwingine hivyo yeye huyo dada akaamua kumsusa.Hadi ananieleza,alikuwa hamtaki kabisa mumewe hata kumsikia...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Eti jamani hii ni kweli? Eti mapenzi ni pesa?!eti bila fyeza hakuna luv? Sisi masikin tuta-survive kweli?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo ya Utandawazi... hebu changamsheni akili kido kwa hii:confused: A Zambian couple is getting divorced after finding out they had been secretly chatting each other up online under fake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Eti ni kweli kwamba mwanamke bila mume&and vice versa hajakamilika?? Je ni muhimu kuoa/kuolewa?
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Shosti mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako. Shosti mazoezi ni muhimu kuweka akili ikae sawa Shosti ukipasha misuli hata mwenzio wala humsumbui Shosti ukiwa fit una mpa raha mwenzako...
0 Reactions
49 Replies
14K Views
Wanajamii,hivi galz hupenda nini kwa wanaume? Hupenda wanaume/mwanaume mwenye sifa gani? Ufanye nini ili u-capture attention yake kwako? Lets help each other!
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Upo sebuleni au mahali popote palipotulia na agemate wako, lakini wa jinsia tofauti na ni ninyi tu peke yenu.... ghafla anakuangalia na jicho la kujiamini na kukuambia "nitongoze"... Je, ungeanzaje?
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wadau kuna msichana ambaye alikuwa wangu kipenzi tukiwa secondary na sasa imepita miaka 3 toka tumeet kwa last time. Juzi Juz tu nimekutana nae na kubadilishana namba na usiku wa Jana kanipigia...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hello Great Thinkers, I hope you are all happy and healthy. Bila shaka kila mmoja wetu anafahamu wazi kwamba mapenzi ni moja kati ya mambo kadha wa kadha ambayo japo ni mazuri lakini yanatesa watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Linapokuja suala la kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo (ama hata mambo mengine yenye matokeo hasi kwa watoto) wazazi wengi huwa hawawi wazi kwa watoto wao kiasi cha kutosha kuwaonesha wazi...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Nimewahi kusikia mkeo akiwa na mtoto mchanga hutakiwi kufanya nae tendo la ndoa, eti utamwalibu mtoto; Je, ni kwa muda gani? Pia ukichakachua nje ya ndoa unaweza kumwalibu mtoto;wengine wanasema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyo ni utafiti umefanywa na shirika moja linaloshughulika na mambo ya kijamii. Hongereni wanawake..!
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…