Perhaps men - some - are super creatures who do not fear rain, storms, clouds or lions. But there some things would not want their women to know. Until it is too late to ditch the relationship...
Ni swali ambalo nimejiuliza siku nyingi na bado sijapata jibu,hivi mtoto wa kiume ile pembejeo yake ya haja ndogo inakoma kuongezeka size akiwa na umri gani.Maana kwa kawaida mtoto akizaliwa...
Huyu nae, mama wa watoto wawili, story zimezagaa mtaani, kaolewa na mme wake ni mtu
na maisha mazuri tu, ila katongozwa kidogo tu mzee wake kaenda mikoani kikazi anagawa,
tena watoto wakiwa shule...
Wanaume mbona tunawayumbisha sana wake zetu?
Wakikaa sebuleni kwa kulegea, tunawasihi wakae vizuri. Utasikia dume liking'aka "kaa vizuri wewe", tukiwa na maana wajibane.
Wakikaa kwa kujibana...
Uko na rafiki yako.mmezaliwa,mmeishi na hata mmesoma shule moja..tumuite kaka wa kwanza dulla na wapili tonny..wote mko na mabinti mnawapenda sana ila hamjachumbiana..dulla akiwa na rita na tonny...
Wandugu, wiki iliyopita nilitoka na kidada flani masista duu wa hapa ofisini, nilikuwa na mtamani muda mrefu, kwa hiyo hii ilikuwa nafasi adimu. Ila kuna kitu nimekiona kwake naomba oponion zenu...
Jamani nimepata jaribu moja hapa oficn mpaka sasa ubongo ume-seize kuelewa kilichotokea, kuna mdada mmoja (mke wa mtu) jana tulienda nae kula (sikumtoa) ilitokea tu tumeenda muda mmoja na tukakaa...
By carolyne makana
Lose weight, exercise more and many more pledges are typical New Year resolutions. This coming year, however, your resolutions should not be so typical.
In fact, perhaps they...
Jamani watanzania tunaelekea wapi? Maana kuongopa kumezidi sana. si marafiki wala wachumba.hasa uongo wa kwenye simu,utakuta mtu anasema.niko nyumbani na kumbe yuko sehemu nyingine.hii inasaidia...
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani...
Sisi sote ni ndugu...... Kama kuna binti wa kihindi yupo tayari... nataka tuwe mfano wa kuigwa kwamba sote ni dugu moja.. Just PM me (Lets do it for our Country) Lets mix tuondoe Matabaka....
Wadau Ilikuwa ni hatari kusikia Mwanamke anatukana Matusi kama MHSENGE na Nyoko" wakati mama mzazi wa mumewe anasikiliza na hatimaye akaamua kuaga hiyo familia na kuondoka arudishwe kijijini...
nimesoma post nyingi humu ndani zinaonyesha kama mwanamke anapokosa mfano amecheat haitaji msamaha hapo hapo nikiwasoma wanaume wanavohalalisha kuwa na mahusiano nje ya ndoa zao kwanini wamama tu...
Siyo siri mwenzenu nimechanganyikiwa na sielewi hatma ya ndoa yetu.
Nashindwa kumwelewa mamito wangu! [mama watoto wangu] Tuna miaka 5 ndani
ya ndoa yetu,na tumebahatika kupata 2 kids. Lakini...
WanaJF naombeni mnishauri;
Ninaishi na mke wangu kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja mwenye miaka miwili kwa sasa.Katika muda wote wa ndoa yetu nilikuwa mikoani...
Leo nimekutana na mkasa tata sana nimeshindwa kuamua kesi hii iliyonichukulia zaidi ya masaa matano.
Kuna rafiki mmoja anatembea na dada moja aliyeolewa kwa ndoa na ana watoto wawili ila ANA...
Habari JF
Siku za hv karibuni nimekuwa active member wa vikao vya harusi. Si unajua tena unapokuwa na vijana wa miaka 20 na kuendelea kuwekeza kwenye hii saccoss ni muhimu! Haya bana ndo hivyo...
Ndugu zangu, hebu jiulize ::: Ni sababu gani kuu inamfanya au inamlazimisha mtu aingie ktk ndoa? Kwa nini unataka ndoa?? Je ni kwa sababu ya kupata mtoto?? Au kwa sababu wazazi wamesema lazima...
Mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……
Mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.