Wada nauliza hekima zenu:
Kuna jamaa katembea hadi kuzaa na shemeji yake (mdogo wa mkewe); imemuumiza sana mke na kumvunja moyo, ana watoto 3 na huyu mume wa ndoa, uhusiano na mumewe uko...
Sijui ni kwanini katika ulimwengu wa mapenzi ni wachache sana wanaokubali kubeba lawama?Wapenzi wengi wanapotofautiana au kugombana basi kila mmoja atamshutumu mwenzake kuwa ndio chanzo cha ugomvi...
Nina mchumba ambaye nimemchumbia na tuko kwenye mikakati ya kufunga ndoa hapo mwezi wa sita mwakani.
Jana jioni nilitoka na mchumba wangu kwa ajili ya matembezi ya jioni.
Nlipofika nyumbani kwao...
hey!bakima na bagoshaa{banyabo na basebo}nje baleko?
wakuu nilikuwa na kimwana ambae tulikutana kwenye mtandao flanii wa jamii...kwa bahati tukawa marafiki na kwavile tulikuwa karibu i mean mkoa...
Wadau katika pitapita yangu ndani mtandao, nkapitia forum moja hivi nikakuta mada hiyo hii "CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! - Mwambie, usione haya"
Si vibaya nanyi mkaijadili kama...
Mtu na mwenzi wake wakiwa wanapendana mi nachukia kwelikweli, wakiwa kwenye migogoro naona rahaaaa mustarehe.
Sijui ntakuwa nasumbuliwa na ugonjwa gani?
kazi ipo dunian humu umefanya mema mangapi umetenda mabaya mangapi umevunja ndoa ngapi kazi kwako mbingu ya pili haya tukisubiri 2011 basi tuache hayo yote jamani kama awajakukawawa wakina sheikh...
wana-JF naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko poa na anaendelea vizuri na majukum ya kila siku, napenda kuwashukuru wote walionikaribisha humu ndani na pia nasikitika kusema kuwa nitapotea kwa...
Anataka Tuangalie Mkanda! habari za siku!Nina swali ambalo naomba msaada kwani najikuta nipo njia panda na swali lenyewe ni kama ifuatavyo.Mume wangu anataka tununue mkanda wa pornography kwa...
Nataka Anioe! Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 nimependana na mwanaume mwenye miaka 30. tumekuwa pamoja miaka 3 sasa ingawa kila mtu anaishi kwake. Binafsi nina mtoto wa miaka 3 ambaye...
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya yanatutokea kila siku..
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni bank, supermarket ama kwenye huduma ya foleni ule uliouacha unakwenda mbio...
MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA...
Yawezekana ni hendisam handBASIASI nk,,...wanawake wengi wakakufanya kama bomba la dawassa kila mtu anavuta anapojisikia..saasa basi tukielekea 2010 wewe ukiwa ama umeoa na unajua kuzini nje ya...
Wakuu wa janvi nawasalim wote, jamani me nimeshawishika kuandika hii kitu manake ni personal experience. Hivi ni kweli mapenzi ni umpendae nae anakupenda au umpendae humpenda mtu mwingine na wewe...
Dear Salary
Please come back to STAY with me.
You left in such a rush last month,
I didn't even have time to tell you about my plans.
I'm sorry about whatever it is I did.
I promise I'll be...
Japo bado sijaona njia nyeupe na sahihi zaidi, NINA KILA SABABU YA KUWASHUKURU WANA JF mliotoa mawazo yenu juu ya nini nifanye kuhusiana na suala zima la dogo kama nilivyoandika hapa chini.
Baada...
..............................................................
The allegations centre on a 10-day period after Assange flew into Stockholm on Wednesday 11 August. One of the women, named in...
Mambo wadau,
Nilipitia blog moja hivi ya mambo ya malavi davy na ndoa, nikaikuta hii article....
MWANAMKE:
Ili mwanamke afurahi tendo la ndoa:
Ni muhimu ajisikia anapendwa na mume wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.