Experts say kissing more makes women feel happier. Men say it makes them feel loved.
Have you ever wondered why we kiss? It's actually a strange way to spend your time lips smooshed together...
Habari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi...
Ni jirani na swahiba wangu...
Anamiliki pikipiki nzuri ya kileo...
ana vidli kadhaa ambavyo vinampa hela ya kuishi town...
anajua madem wote mtaani... wake za watu hadi vident na bwana zao...
habari zenu great thinkers! Naomba kuelimishwa juu ya m2 kuwa na msimamo. Mara nyng ktk mahusiano ya kimalovedav utasikia mwanaume/mwanamke anamwambia mwenzie huna msimamo hii inakaaje! Nini maana...
Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na...
wanafamilia...
Have a joyous, lovely and peaceful festive season...
Ahsanteni kwa elimu kubwa nilopata kupitia jukwaa hili..!
hata nikiwa naburudika ktk kipindi...
Kuna rafiki yangu ambae amezaa na mwanaume, mtoto anamiaka mi 3 sasa, mahusiano yao yanamiaka mitano. Mpk leo huyo mwanaume hajasema chochote khs ndoa japo huyo dada sn anafahamika upande familia...
napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wana jf wote na hasa wasimamizi na wakuu wa jukwaa letu hili lenye mafunzo, manufaa,faida na fahari kubwa kwa jamii yetu.
binafsi nimejiunga na jukwaa hili...
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo...
kulingana na utafiti wangu binafsi, ukioa mwanamke mwenye sifa zifuatazo:
1. mweupe naturally bila kujichubua,
2. umbo la nane
3. macho ya kurembua naturally
4. M--a--t--a--ko makubwa ya mviringo...
The Royal Family
Prince William to miss seeing Kate Middleton on Christmas Day as he volunteers for RAF duty
Prince William will miss out on seeing his fiancée...
Rafiki yangu mmoja kalalamika sana kisa demu wake kamkimbia ila nilipomhoji kwa makini ni kuwa demu alikuwa anapenda sana kutoa mambo flan ti*O .na jamaa naye alikuwa anapiga mara moja moja lakini...
Man faces charges after love rival freezes to death in Russia's far east
Victim was locked outside in sub-zero weather, after being found courting relative's...
Kweli mtu anakuona na anakupenda anakwambia nimekupenda bibie lakini nyie mnakataa kwa nini??wakati kitu unachoombwa ni mapenzi na unouwezo wakusema njoo ujinome lakini mhmm!!utanizungusha au...
Ewe unajiita kidume...!!
Unajihisi vipi...hata kama unapotezea....kujua ukweli kwamba mkeo anakuzidi kipato?
Unajisikiaje na utafanjaje...pale ambapo kila mnapogombana anakutamkia kauli za...
Ndugu wengi ni watu wa lawama, hawana jema jamani. Hawawezi kukufanyia zuri na zuri utakalowafanyia wewe hawana shukrani nalo.
Wengi ni wasiopenda kuona unafanikiwa hata sijui kwanini...
TABIA MBAYA NDANI YA NDOA
Kukerwa na tabia fulani ni kitu cha kawaida katika maisha ya kila mtu. Yapo mambo ambayo yanamkera mtu binfsi kama yeye na mengine hutukera sote.
Mambo yafutayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.