Katika Pitapita zangu nimekuta watu wakibishana, ebwana eee acha embe la kibada Kiboko mtu wangu, mmoja akadakia hilo cha mtoto wewe nenda Kahama huko embe la kujidondokea mwanangu ukionja huachi...
Wadau kuna dada humu mie nimetokea kumpenda sana. Si upendo wa agape bali ni ule wa kimapenzi kati ya mwanamme na mwanammke.
Kulitaja jina lake naogopa lakini linaanzia na D. Nimechanganyikiwa...
Jamani wapendwa nawasalimu katika jina la Yesu namtafuta mtu anaitwa Kevin Ambrose aliyemuona ampe salamu zangu he likes posting via mobile i missed him a lot. Regards DA
Napenda nichukue nafasi hii kuwatakia Sikukuu njema wafanyakazi wote wa majumbani. Pia natumia fursa hii kuwashukuru kwa kazi kubwa wanazofanya majumba, kwa maana bila wao familia zetu nyingi...
Wapendwa katika Bwana,
Nawasalimuni kwa upendo wa Agape.
Nadhani mnajua Jumamosi inayokuja ni Birthday ya Bwana Yesu. Kama kawaida yetu siku hii huwa lazima tuishehereke kwa namna tofauti...
Hallow JF members,
I hope this Christmas come to you joyously and softly with the rustle of angels wings
with the warm of candles glow with the laughter of children and a Ho, ho ho
I hope it...
Jamani nauliza kwa nini wanawake huwa wanakata tamaa mapema pale anapoona umri wake wa kuolewa unazidi kwenda kama miaka 30 na kuendelea kuliko mwanaume kukata tamaa ya kuoa pale ambopo umri wake...
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha...
Mshikaji wangu mmoja anayeishi Dar ana rafiki yake wa kike wa siku nyingi anayeishi mkoani. Siku chache zilizopita alimuomba amtumie nauli aje Dar kutembea. Jamaa hakufanya ajizi akamtumia kilo 1...
Jamani siwezi taja jina moja moja maana wote ni muhimu kwangu hasa katika kuchangia hoja katika jukwaa la Mapenzi, hapa namwaga Heri Ya Krisimasi, na Kuuaga Mwaka Mkuu kuu na Kuukaribisha mwaka...
Use u r l:A S-heart-2:E IQ kumsaidia huyu mama, hasa wadada wote wa JF mawazo yenu, plse
Kuna mama yupo ndani ya ndoa kwa 9 yrs sasa, ana watoto wawili, wa 6yrs na 1yr na 6months, wote boys, Mzee...
The couple who decided to get married naked in front of 250 guests.
Ellie Barton and Phil Hendicott decided to spend their wedding in their birthday suits. The pair of exhibitionist Aussies...
Wakuu habarini zetu,naombeni mawazo yenu wakuu. Demu nilitembea naye TR 3 na TR 4..na yeye siku zake za kuwa mwezini ni tarehe 28. Sasa demu ananiambia hajisikii vizuri .. Ndio nataka kujua kuwa...
Jukwaa la Kimataifa: Field Marshall
Naibu: hakuna
Jukwaa la Siasa: Rev. Kishoka
Naibu: Kiranga
Jukwaa la Uchaguzi: Mzee Mwanakijiji
Naibu: Superman
Jukwaa la Jamii Intelligence: Invisible...
Nimiileta huu nikiamini nitapata msaada ...
Nahitaji kujua Beach hotel nzuri na ambazo zina gharama nafuu na huduma nzuri... nina ugeni wa siku 5 toka nchi jirani wakati wa New Year eve...
kuna jamaa hajui kama anaumwa au la!yeye kila amwonapo mwanamke aliyevaa kimini au alie na makalio makubwa basi ni kosa kubwa kwani ni lazima amfate na kuanza kumtongoza!
Haijalishi ameshapigwa...
Kapteni mmoja wa ndege MSTAAFU aliekuwa akiendesha shirika moja la ndege la taifa tanzania hivi majuzi wiki mbili zilizopita yamemkuta yaliomkuta MC LEMA pale Gongo la mboto..na hili nimeweka...
Habari za JF wanandugu. Kwa kawaida ni kitu cha busara kumsalimia SHIKAMOO mtu aliyekuzidi umri. Lakin Je, kama una mpenzi wako amekuzidi umri ni lazima kusema SHIKAMOO? Hasa kwa mabinti ambao wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.