Na kwa nini umdanganye mwanammke siku ya mwanzo unapomtaka kwani utakapomueleza ukweli nini kitatokezea au unahofia nini? mimi sioni sababu ya kudanganya. na kama umesema mwanamke atakudanganya...
Ndugu, can you tell the importance of kises in love. I know that you know. Angalia hapa. http://kipandula.blogspot.com/2010/12/marriage-series-importance-of-kisses.html
KATIKA zama hizi kuliko zama zingine zozote pesa imepewa kipaumbele kikubwa katika suala zima la uhusiano wa kimapenzi. Mwanamke asiyempenda mtu bali pesa si rahisi kujenga uhusiano wowote...
Wapwaz na mabinamu!
Baada ya kusikia na kushiriki na kuguswa na kuathirika na mikasa; visa, vituko, matukio na adha zinazotukumba wanandoano.......oops WANANDOA!
Naomba tupitishe azimio kushauri...
Wanaume wanahitaji mwanamke mtundu, tendo la ndoa ambalo linaleta msisimko, linalofurahisha na kutia hamasa mpya kila siku.
Jaribu vitu vipya, mikao, miguso, busu, na michezo ya uwaja wa 6x6 au...
Kwenye mwezi wa Julai tulijulishwa kuhusu upatikani wa mafuta ya kujipaka akina mama na yaweza kuzuia vvu kwa asilimia 50 au hata zaidi........mafuta hayo hujipaka kabla na baada ya tendo la...
Hii ni story ya mwanamke mmoja ambaye nimekutana naye katika harakati za kupeana ushauri wa kutatua matatizo yanayotusibu katika mahusiano. Amekubali niiweke hapa ili kupata maoni ya wadau...
Mamboz wana JF!!!
Duh! Jana ilitokea kali i think ni fundisho tosha kwa mabinti wote wanaopenda kutega kwa ku2onesha matiti yamecmama wakati yameshalala!
Mtaani kwetu wakati napata gahawa sumwhr...
Kwa wale wote dadaz na kakaz ambao wamepoteza watoto kwa njia ya abortion kwa sababu walizoona wao hazizuiliki!:sad: Ohh na wale wanaopanga kufanya hivyo....fikiria mara mbili mbili!!
YouTube -...
wanajamvi kuna jambo limekuwa likisumbua akili yangu muda wote hasa nikitizama watoto tuliozaa huwa nawaza mambo mengi sana.nakumbuka hapo nyuma tulipokuwa tunakua wengi watakuwa mashahidi kila...
WanaJF nina jambo nilikutana nalo nikabaki na swali!
Kuna dada niko karibu naye alidivorce na mumewe na wana mtoto 1 apparently jamaa alikuwa homo.. Wakati wametengana the kid was 4 n half mths...
Siku hizi tofauti sana na siku za nyuma, ni rahisi sana kusikia mtu na mwenza wake wameachana. Be it kwenye ndoa au wale ambao wako kwenye mahusiano kuelekea kwenye ndoa.
Kwa mfano kwa muda wa...
Binamu yangu kaowa majuzi tu...shida ni kuwa baba mkwe kutwa simu haziishi kwa mwananwe kujuwa nini kinaendelea...binamu alipofuatilia kulikoni mkewe kamwambia Baba yake anamhimiza asirukwe ukuta...
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?
naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....
ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na...
Jamani naomba kuuliza je nisahihi wapenzi/mke,mme kuchunguza cm ya mwenzie? Na vpi kwa yule ambae simu yake ni kama kipimajoto muda wote anayo hataki iguswe. Nawakilisha
Unlike past years, nowadays you will find husband and wife all employed. However, it is unfotunately that as income of each spouse increases the forces of divorcing is also increasing. Does this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.