Leo katika kucheki Mwanachi ya leo nikakuta habari nzuri isemayo MAMA AJIFUNGUA WATOTO 5! Nilifurahi sana nikasema hana haja ya kuongeza watoto wengine wametosha.
Nilipoendelea kusoma newz hii...
hebu nijuze, hawa watu wanaoigiza picha za ngono ni watu huru kabisa katika jamii zao, yaani kiasi ambacho wanapita mitaani na watu wanawajua kuwa yule ni porn star ameigiza picha fulani na fulni...
Siongeli kumdanganya mpenzi wako kwamba amependeza wakati anachukiza . Hapana!!!!! Lakini Je? Kuna ubaya gani kumficha mwenza wako kama ukweli unajua utamuumiza, na hawezi kuvumilia .. Just...
Msaada tafadhali wakuu,maana toka kuche siku ya leo najiuliza na sijapata jibu,hivi inakuwaje inaonekana ni jambo la kawaida pale baba anapokuwa na umri mkubwa kushinda mama inaonekana kawaida...
PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.
Kwenye pilipili kuna...
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana mavazi ya kike! Unakuta mwanaume anavaa kikuku ama pete kwenye vidole vya miguuni. Mwanaume anavaa G string, ama vipedo jamani mavazi ya dada zetu hayo...
Jana nilichelewa kidogo kulala, nilikuwa nikisoma novel huku nikisikiliza clouds fm.
Mida ya saa sita kipindi kilianza , mwanamke na mwanaume walikuwa wanaongea NGONO hadharani.
Watu walikuwa...
Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...
afrodenzi
JF Senior Expert Member
Join Date:Mon Nov 2010
Location:sweet home
Posts:2,096
Thanks:250
Thanked 232 Times in 216 Post...
Dears I hope all of us are ready to party for the coming sikukuus. Tunamwomba MUNGU atujalie tufike salama maana duh......ni rehema zake tu tutazisherehekea.
Kuna kitu kimekuwa kikinitatiza siku...
Wana jamvi,
Hivi ni kweli watoto wa kiume huona wivu sana wanapowakuta mama zao na wanaume wasio baba zao, kuliko wanavyowakuta baba zao wakiwa na wanawake wasio mama zao? Kama ni kweli, kwa...
Wife goes to supermarket, sees men's briefs on sale. She buys a dozen of the same colour. Goes home and gives hubby.
Hubby protests, 'Why buy me same colour? People will think I do not change...
Hakika kifo cha mkongwe wa muziki nchini Dkt. Remmy Ongara kitakuwa kimewashtua watu wengi.
Leo hapa nimekuwa nikisikiliza nyimbo zake nyingi tu. Na katika pekua pekua yangu nikakutana na...
Huwa nachefuka sana nikiona mwanamke anapaka mkorogo ili awe mweupe. Inachefua unamkuta mama amekuwa mwekundu kama komamanga. Kwa nini weupe hawajibadili kuwa weusi? Ina maana weusi ni laana? Kwa...
Habarini wapendwa. Nimewamiss
Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia...
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT...
Jamani gongo ipi nzuri! Kigoma, Mwanza na Shinyanga wanatengeneza za mihogo! Kagera wao wanatengeneza za Ndizi. Wale wa mkoa wa Mara wanatengeneza gongo la mapapai na mavi! Morogoro wao wanapika...
Mamboz vipi wana JF!!!
Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
Wakati...
WanaJF naomba tu niwaulize swali hili,maana siku hizi kila kukicha tunaona post za ajabu na vile vile kuna zile zilizokwenda shule,na ili watu wajitathmini naomba tu wewe msomaji utakayepitia hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.