Ndugu wanawake hasa mlioolewa nawaomba mtumie busara kutatua tatizo la kupungua nguvu za kiume za wapendwa wenu. Maana hamwezi kujua nini kimewapata wapendwa wenu mpaka washindwe kuimudu kazi...
Jamani wataalam wa mapenzi nisaidieni, mchumba wangu for the first time in our
relation kaniomba nimfulie chupi yake, mm najua yangu anafua ila mm kama mwanaume kufua chupi ya mwanmke naona...
Ndugu wanaJF, kuna rafiki yangu ana mke ambaye ana mimba ya miezi mitatu, juzi aliniuliza kuwa anapenda kuendelea kufanya mapenzi na mke wake ila anaogopa asije akaharibu mtoto aliye tumboni. sasa...
Habari senu wana JF wote nafurahi kuwa pamoja nanyi kwani mmefanya maisha yangu kuwa ya furaha sana. Jamani mimi kama mimi toka nianze kuingia JF maisha yangu yamekuwa ya raha na furaha sana mpaka...
13 desemba,2010.
usiku wa kuamkia leo tumepata habari za kusikitisha kuhusu kifo cha dk remmy ongala.
kwa kuwa chidumule ni mtu aliyepata kufanya kazi na dk ongala, nimeona bora niwarudishie...
The Way You Kiss
Aries
Your kisses are quick and passionate fits of lustful pleasure that are there and then gone.
Taurus
Your kisses linger; they are deliberate, heartfelt and they can go...
Hii imemtokea dada mmoja na kaja kwangu kunisimulia na kilio juu,anasema baada tu ya ndoa yao wakiwa honeymoon jamaa akamwambia tumefunga ndoa sasa,mimi na wewe ni wazima hatuna ugonjwa wowote wa...
Mimi napata tabu sana kuelewa mawazo ya watu!!hivi humu JF ni sehemu ya watu wanaobarehe??aiingii akirini umepata demu wako umegonga unakuja kuanika huku,huu nadhani siyo usitaarabu hata...
Jamana hebu nisaidieni katika jambo hili, mbali ya tabia nzuri na kujiheshimu, uzuri wa wa mwanamke umeegemea kwenye nini zaidi kati ya umbo nzuri au sura? Sijajua nichague sura au umbo?
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
Dr.
Solder
Nurse
Taxi driver
Security
Police
Captain
Airhostes
Paparaz
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu...
Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu...
Ukitaka kuoa oa mwanamke ambaye ni mwalimu.
Huwa ni watu wenye hekima, wanaweza malezi kwasababu huwa wanakutana na watoto wengi wa tabia tofauti so wa kwake hawatomshinda.
Ni watu ambao hawawi...
Hamujambo jambo humu wapenzi wote wa chadema na hata wa kile chama kingine cha maf . Majambazi, Wizi na wachakachuaji wa kura? (Chadema wameshawasha moto wa Katiba mpya hakuna wa kuuzima na ni...
Kuna mambo yanashangaza sana na kukupelekea uwaze sana na hupati jibu
Ilikuwa hivi: Jamaa amempeleka mkewe hosp na ikabidi alazwe na vipimo vilionyesha kuwa ana upungufu wa damu. Hivyo ikabidi...
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo?
Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali...
Wadau wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima nawaomba mnisaidie kumshawishi cheusi wangu(cheusimangala) asiende kuhasabiwa x-mas hii karibu na mlima mrefu kuliko yote africa na akubali kuwa nami...
Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?
Aua mke kwa kisu, naye ajiua papo hapo
Imeandikwa na Nashon Kennedy, Mwanza; Tarehe: 11th December 2010 @ 23:15
IKIWA ni wiki moja tu imepita baada ya Tanzania kuadhimisha siku 16 za harakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.