Wana jf naomba ushauri. Kuna dada anafanya kazi sehemu moja inayo toa services. Ni dada mzuri, msafi, anajiheshi, anaelimu nzuri na muungwana. Tatizo Kila nikienda hiyo sehemu kupata service...
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww...
Jana niliona jinsi wananchi wa mkoa wamara walivyokuwa wanashabikia ukeketaji wa vibinti vidogo tena siyo kwa ridhaa yao
Sheria zipo na wanazivunja na vyombo vina kaa kimya
Hivi hawa watu wapo juu...
Ni juzi jumapili natoka kanisani, nikiambatana na waumini wenzangu tuna toka eneo la kanisa, mbele yangu kuna kijana ambaye nahisi anaweza kuwa na umri kati ya 35/40 ameongozana na watoto wawili...
Hatimae dakika kama kumi zilizopita TEAMO na mkewe wamejaaliwa kupata mtoto wa kike salama salimin
God is great
We are not sure if the name starting with G will hold for the new baby girl...
Wakuu,
Ninavyofahamu mimi mwanamke anazaliwa bikira, akikua akaolewa na au kufanya mapenzi basi ubikira huwa umekwisha pale.
Lakini mbona Mary mama yake Jesus bado tunamuita bikira wakati...
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana...
Women, they all have needs which tend to be different depending on the enviroment and their backgrounds in some ways u cant realy put a formula but there things that women expect and realy find...
Dear JF sisters n bros....( wakuchakachua, kuchakachuliwa na kuchakachuana),
Jamani tukiendelea kumuombea Teamo na kabinti kake, Da Sophy na kadume ( another heartbreaker ahahha), may I send...
Wana JF habarini za week-end? Bila shaka imeenda salama kabisa na kila mmoja ameweza kurejea kwa mkoloni wake kwa utumishi wake... Leo napasua ukweli wa moyo wangu juu ya imani hasa kwenye uwanja...
Baada ya kutafakari sana na kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yangu na Wife na jinsi ninavyoshuhudia toka kwa wanandoa wengine au familia...I came to a conclusion that.."WOMEN ARE ALWAYS RIGHT" . My...
Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.
Ushauri wapwaz
Ewe mwananmke, umekutwa na mwanaume mwingine ndani ya kitanda cha mumewe, ukasamehewa, umekutwa ukifua nguo za ndani za mwanaume mwingine ilihali umeolewa, ukasamehewa, umekuwa ukilala siku kadhaa...
In the Philippines, a Struggle to Reconcile Faith and Love
By CARLOS H. CONDE
Published: December 9, 2010
MANILA - Surrounded by votive candles and flowers, the couple...
Wana JF nimekwama naomba wale wenye vigezo wanifumbulie.
Ninahitaji mchumba wa kuoa lakini bado sijafanikiwa huko mitaani kukumbana na chaguo halisi.
Sifa;
1.Awe mweupe
2.Umri 18 hadi 25...
xmas inakaribia...!
nahitaji mrembo awe maza-xmas wangu.....!anisaidie kugawa zawadi siku ile ya Noel...!then tukishamaliza kugawa zawadi tunarudi home nampa na yeye ZAWADI yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.