Kwanini wanawake/mabinti wanaitwa majina haya?
Wadudu/ dudu...?
Vyombo/chombo..?
miwashawasha/washawasha....?
mizigo/mzigo/zigo...?
n.k,
Kuna sababu gani ya haya majina?
Jinsia ya kiume, ya kike na tendo lenyewe ndio vitu vyeme majina mengi sana.
kitu cha kiume utasikia kikiitwa mtarimbo, dudu, dude, kukwa lao, shafti, rungu, mpilipili, mkongojo, bakora...
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check...
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu?
Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana...
wana jf habarini za muda!!
bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza...
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana...
When your partner leads a double life
To the outside world, he looks like the perfect gentleman but beneath that carefully put-together front lies a completely different persona. Photo/FILE...
Eti wanaume walevi wengi wao hukojoa kitandani wakati wamelala na ulevi wao?
Nimepeia kwenye kijiwe kimoja hapa K/ndoni B nikakuta madereva taxi wanapeana changamoto juu ya swala hili!!!
Wana JF...
Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop...
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini
The Finest
JF Senior Expert Member
Join Date: Wed Jul 2010
Posts 5,568
Thanks 1,695
Thanked 907 Times in 729 PostsRep Power
32...
Wana JF kuna siku nikiwa naishi Mkoani Tanga sikuamini kilichonitokea kwani kulikuwa kuna dada mmoja nilisoma nae shule ya sekondari form five na six.Tulipotezana kwa muda na baadae kuja kukutana...
Una kipato kizuri, una mke na watoto wawili. Pembeni una kibinti kikali sana.
Umekipangia nyumba Kijitonyama na umemuwekea mlinzi wa kuilinda.
Siku moja unaenda kumtembelea bila taarifa, unawakuta...
Jamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni...
Wakati nikitafuta kivuli ili nijisitiri kwa jua hili kali nimejkuta nimekalia kuti kavu baada ya kupendwa na shemeji yangu.Kisa hichi kimetokea baada ya kupeleka maombi JF kumbe shem nae ni mdau...
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.