Ijumaa ya leo najisikia kutuma salamu za kimahaba moja kwa moja kutoka katika studio zilizoko moyoni mwangu zifike kwako wewe unayeufanya moyo wangu ustuke kama umepigwa na radi pindi...
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi...
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi...
She constantly makes attempts to touch your hand.
She buys you small gifts for no reason.
She leans towards you when you talk to each other.
She smiles at you a lot.
She laughs at your...
To the men who are reading this article: There are a lot of women who are very unhappy with you. Really. I know, because as a dating coach, I hear women tell me all the time in the most...
Jamani nimezunguka baadhi ya mikoa ya Tanzania na nimewaona warembo wa kila aina, Lakini warembo ambao nawaona ndani ya Bongo,si mchezo jamani!
Kila ninakopita ni balaa tupu! yaani kila mmoja...
Jamani na mimi nimechoka na mapenzi ya ubabaishaji sasa nahitaji mwanamke wa kunilea kistaarabu as a shugar mummy. Aliye serious ani PM for next step. Fist com first served.
Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali...
Habari hii nimeisikia leo asubuhi BBC kuwa katika wilaya ya Tarime mkoani Mara kuna wasichana na watoto wa kike 5,000 wakisubiri kufanyiwa tohara a.k.a kukeketwa katika mwezi huu wa Desemba. Kwa...
Jamaa mmoja hapa mtaani kwangu amemfumania Mke wake wa ndoa akitoa Tigo kwa jamaa mwingine na ndio kwanza ndoa yao Ina wiki 3,Kwa kweli inavyoonekana jamaa alikuwa anazo data zote kuhusu mwizi...
Niliachana na smll hse nimejikuta ninaye kwenye mavituzi tena ya moto kuliko yale ya zamani nini jama??naninaye mwingine je nifanyeje??amekuwa mtamu kuliko niliyenaye!!Natumejiiba naye ana...
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa...
Card ya Mwaliko wa Harusi ya rafiki yake wife ime kuja kwa Jina lake e.g Rose Sungura Instead ya Ku elekezwa kama ilivyo Desturi MR&MRS Lameck Ngofisi.Sasa Mimi Nimechomoa kwamba siendi kwa kuwa...
binti mstaarabu kanizimikia. kanieleza ukweli wa moyo wake
na kwamba anatumaini tunaweza kufunga ndoa. binti ni mrembo
wa haja na anaelekea na wife material. anasema ameniona mimi ni
mtaratibu na...
huwaga mara nyingi wale tunaowapenda kwa dhati wao huwa hawatupendi ki hivo huwa tunaishia kujipa matumaini tu kwamba na wao huwa wanatupenda hata kwa wale walioa na kuolewa watakubaliana na mimi...
Wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili tatizo langu mapenzi yananiumiza sana kwanza nlikuwa na mpz toka secondary tulipo karibia kuja chuo akanisaliti na sasa nipo nae clac moja...