Niliposikia kwa mara ya kwanza kuwa watu wanaongoza kwa upole ustarabu, na mipango mizuri ya maisha katika jamii ni wale wanaosikiliza miziki aina ya R&B au SLOWJAMs ama miondoko ya taratib...
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa...
Dada mmoja alikuwa na mchumba wake wa muda mrefu....aliamua kuweka mambo yao down-low...nobody has to know.....ikatokea siku moja yeye na rafiki yake wa kike wakapewa lift kurudi mitaa ya...
natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu,
mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45
awe anaishi dar es salaam
Habari wana JF,
Mimi ni member wa JF (home of great thinker) kwa muda kidogo, japo kuwa sijawahi kupost article yeyote.
Leo nimekuja jamvini kwa mana JF ili kuomba ushauri amabo nahisi...
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana...
Katika vikao vya kifamilia wikiendi iliyopita kulikuwa na kesi iliyoletwa na kaka yetu mkubwa kwa wazee ili kupata ufumbuzi wa tatizo katika ndoa yake. Cha kushangaza wazee waliishia kucheka na...
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.
Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6...
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
With all sincerity...
What a total waste of resources!
Im a 107-year-old virgin
Britains oldest virgin says her longevity is thanks to her never having sex.
Clara Meadmore recently celebrated her 107th birthday...
Habari zenu wana JF
Jana nimeshuhudia kihoja nyumbani kwangu kaja Jamaa mmoja (aliyenipokea huku niliko), kaanza kunililia ndani mwangu nikabaki nashangaa kulikoni? Katulia kidogo kaanza...
Na Musa Mateja
Mafataki wameweka pamba masikioni lakini ilishaandikwa za mwizi ni 40, aya zinazofuata zina kile kilichompata mfanyabiashara anayedaiwa kupenda ngono na ‘videnti'.
Ijumaa...
She is claiming to love me, but she is sharing her dreams with someone else!!! Can you believe it???
Alright!! She never gets tired of splattering her profoundly love for me. I love you...
Leo ni siku ya ukimwi duniani, siku ambayo tunakumbushwa kuhusu gonjwa hili,pamoja na mambo mengine pia tunaaswa kutowatenga na kuwanyanyapaa waathirika
na siku hii ya leo napenda kushea nanyi...
HIV is the best thing that happened to our marriage
The news could not have come at a worse time. She was just about to give birth to her third child when she learnt that she was...
Kutokan na wimbi kubwa lamatangazo ya dawa za nguvu za kiume nimekuwa nikifanya utafiti binafsi ...(sihitaji mfadhili) kuhusu eneo hili.Mojawapo ya eneo muhimu sana ni uhusiano wa upungufu wa...
We are gathered here in the presence of God and men to join these people in holy matrimony. We know they have been sleeping together in secret but now they can do it with the knowledge of...
The qn of how pornography affects human behaviours and attituded has been a considerable source of controversy and public concern. Opponents of pornography believe it encourages immortality...
Habari za kazi wanaJF,
ninaomba msaada wenu tafadhali,
nina rafiki yangu tulisoma naye mwanzoni mwa 2000 huko Kenya. sasa ananiomba kama naweza kumtafutia hoteli nzuri huko Dar for his honeymoon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.