Habari wanaharakati!!
Kuna issue inanitatiza naomba niwashirikishe mnipe msaada wa mawaidha.
Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye namchukulia kama bro. Miezi 4 iliyopita alifanikisha kumpata...
Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja wa kuweza...
Najiaminisha kuwa mwanaume na mwanamke wakikaa siti ya mbele ya gari.... asilimia kubwa huwa ni wenzi/wapenzi...
huwa najiuliza; kila nikipiga chabo toka kwenye benzi la mwaibula(daladala) na...
Je kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??:painkiller:
Duh Kweli binti kamzimia jamaa bila kujali hali lakini je litadumu hili penzi? Mungu awaepushe na mawazo ya wachakachuaji.
Triple amputation puts teenage lovers to the test
Craig Wood and Vicky...
Mambo vipi wana JF!
Ngoja niwashirikishe kwenye hii issue iliyonikuta leo mornie wakati naelekea kwenye kibarua.
Nilikuwa nimekaa kwenye seat yangu fresh mara akaingia mdada amebeba mtoto mgongoni...
Nauona wanwake mnasumbuka wakati mmejaliwa!!Unakuta mwanamke Jeans,Skintite,kufuli vyote vya nini?
Hivi gauni sindo vazi lenu??kama ndo hivyo simnge vaa na kufuli disgn kama gauni??kuliko sasahivi...
Wapendwa si haba kuwapongeza wawili wanaopenda na kuamua kuwa mtu mmoja ingawa roho bado mbili lakini uksoma kitabu chetu cha injili unakuwa mwili mmoja....Ndugu zangu wapendwa napenda kuwapongeza...
Nimeisoma hii mahali ikanifurahisha nikaona nishare nanyi wapendwa
Ingekuwa wewe ungefanyaje?
Mama Wawili bought a new handset and a new line.
She wanted to surprise her husband.
In the...
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa...
Nimejaribu kuangalia baadhi ya wanandoa mbalimbali na kuona kuna mengi sana yanayotokea hivi sasa
naomba nieleweke sikutishi uoe ama kuolewa ila vyema kujua ndoa sio lelemama na unapoamua kuingia...
Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia...
Habari zene waungwana habari za masiku kibao natumai wote jana tulikwenda katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani na pia tulipima afya zetu. Kwa wale wenye maambukizo msijali ni sehemu ya...
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike
Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.
Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho...
The Female Factor
Keeping Romance Alive in the Age of Female Empowerment
By KATRIN BENNHOLD
Published: November 30, 2010
PARIS - Remember "Sex and the City," when Miranda goes speed-dating...
Habari za asubuhi wana jamvi,
baada ya kuvumilia kwa muda mrefu nimeona niweke jambo hili mbele yenu, kwa baadhi itakua funzo lakini pia kwa wengine itakua wamepata pa kuanzia. Naliweka hili kwa...