Aisee juzi almanusra nidundwe na demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.
Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu...
You can't believe that circumstances have conspired to make your loving wife cheat on you and risk your marriage by doing so. You never thought she would be capable of such an act. Not only do you...
Habari zenu tena hapa.....
Nna jambo moja huwa silielewi..ni wakati gani pete ya ndoa na ya uchumba (kama alibahatika kuchumbiwa) huvaliwa mkono wa kulia maana juzi naona mtu katinga mkono wa...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
Nikweli kila mtu atakuja na yake
lakini leo si mbaya mabinti sasa mnapoelekea ni pabaya na mbaya zaidi hadi watoto wa shule wamekuwa wakivaa nguo za aibu na matokeo yake wanaingia na vimini...
kazins, nefyuz and all frends and hetaz
Mkoloni alinitembeza wee hadi Lahore, Kivu na hata el salvador... Lakini kusema ukweli mawazo yangu yote yalikua nyumbani,
i just missed evrything back...
Nawakumbusha vijana mkumbuke kujilinda ili muendelee kuishi. Nimewahi kuwaeleza vijana wajizuie kupiga, wakijifanya gonga gonga watakuzika, wanakusahau.
Hata kama una salio la kutosha jizuie...
salam alkum waungwanaa...kunaa rafiki yangu sanaa amepatwa na tatizo na binafsi nimeshindwa kumsaidia,ningeombaa tumsaidie wote hapaa.jamaa aliowa miaka mi tano iliyo pita,alimtoa msichana...
Jamani na mimi nimechoka upweke natafuta mchumba wa kuoana naye baada ya kila mmoja wetu kuridhika na mwenzie. Jinsia ya ninae mtafuta; female. Umri; 18 - 24. Rangi; yoyote kati ya...
Wapenzi wa forum hii,
Sijui hapa ni mahali pake au niulize kwenye forum ya mambo ya biashara. Nimesikia tetesi kuwa serikali inapanga kuzipiga marufuku pipi za vijiti na pipi kifua.
Je hii...
Najua nitapingwa ila kuna ukweli wapwaaz!
Mara nyingi mazungumzo ya wanaume ni kujisifu kwa Ngono na Ulevi. Unaweza kaa kijiweni na washikaji utasikia oooh mimi nimelala karibu na wanawake wote...
Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina...
Hili nimeliona na kulifanyia utafiti kidogo. Inafika wakati ukimwona mtu mzima mke au mume miaka kuanzia 50 ana pete unashangaa kiasi. Wanaona noma au wamepoteza au wamepiga bei? Tufahamishane...
Bandungu wapendwa,
Nimewamiss sana ndugu zangu nyooote wa JF...
Babu yenu nilipigwa lokapu kwa karibia wiki nzima. Ni ngumu kueleza yaliyonikuta ila jueni tu kuwa niko mzima!
Hebu...
Tatizo kubwa na sugu la wanawake wengi ni kitendo cha kutoanzisha kwamba anataka sex na mume wake (initiating) na kumwachia mwanaume kama wajibu wake katika ndoa.
Je ina maana hakuna siku unakuwa...
Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na...
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.