Kuna dada mmoja nilitokea kumzimia sana miaka ya nyuma lakini pamoja na kumuimbisha nyimbo zote zikiwemo maarufu kama "akanana" hakuelewa somo. Aliamini kwamba alikuwepo mwingine ambaye yeye...
The husband and his young wife were not on good terms. In fact the wife
was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she
laid a trap. One evening she suddenly sent...
:typing::loco:Napenda kuingia kulee kwenye mambo ya kikubwa ila nashindwa, kuna sms ni lazima nitume maombi kwa invisiple, nimejitahidi ila sijafanikiwa.
pls mwenye kuelewa naomba anieleweshe...
Loving friends...
Katika katambuga yangu, jana nilipatika sana aisee... I was in the middle of a bunch of crazier guys than me. Tulikua tunakula bata ile mbaya na katika hoja nyingi, kuna moja...
Tumpe msaada huyu:
A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona...
Ngoja nichapie tu kuhusiana na makabila ya kitanzania. Kwanza nianze na wahehe. Wanawake wa kihehe wana hasira sana. Ukimuudhi anaweza kujinyonga.
Ukijaribu kupata uroda kabla ya ndoa, inabidi...
Jamani nipeni ushauri,da gal i love most z ma close friend,nimemweleza kanitosa:sad: lakini anataka 2endelee kuwa close friends:thinking:,nikimkaushia analalamika sana,n she still comes to me...
Kwanini baadhi ya washenzi huwa wanawapa tabu sana watu hapa uae wakati wa kuleta wake za0? Jee ?na kunaninihii kitandani pia huomba misaada?watu hao hao mara nyumba mara kitanda mara frigi mara...
unakuta uko na uhusiano na mtu wa muda mrefu sana na siku zote haonyeshi kama anauhitaji huo uhusiano,ila anaponusa kuwa kuna dalili ya kuachwa anaanza kuonyesha mbwembwe za kila aina na kufanya...
Jamani naombeni msaada hapa, hivi katika mahusiano ni Mwanamke tu ndio anayetakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya relationship?au hata Mwanaume anaweza kusacrifice?
Most men have this problem of desiring any lady they see who crosses their line of sight. A man may decide to stick with a certain lady today, but the next day another lady may appear to be more...
Dear Alcohol,
I thought I'd take a minute to discuss some troubling factors with you. First and foremost, let me tell you that I'm a huge fan of yours. Your many sides and dimensions are...
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume...
Wandugu.......!
HABBAAARR ZEEENU BAAAANAAAAAAAAAA!
kwa kweli leo nimeonelea ni vyema kabisa nikatoa ''langu la moyoni'' maanake dah!kuna vitu havivumiliki
nina HASIRA KALI inayotokana na...
Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake...
Nimeanza kuishi na huyu mwanamke toka mwaka 2007 wakati huo tulikuwa tunaishi kama wapenzi na tulikuwa tunatembeleana tu yeye akiwa Dar na mimi nikiwa nafanyakazi Mbamba Bay lkn ilipofika mwezi...
Kuna jamaaa ambaye ailkuwa na mke yuko bizena kzi na kila kitu ni house gal... Ikafika muda ukafika mume akata kusafiri kwenda kijini kwao na watoto kusalimu wazee ..akaweka kikao na mkewe na...
Jamani huku kunanini?mbona new members wamekuja na speed yakutafuta wanajamii ili wa do ze nidif au nyie ndo vidume kuliko sisi kakazenu mliotukuta??huko mlikokuwa hakuna??Pili mbona sijasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.