Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ugandan Minister Making A Huge Fool Of Himself
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza: hivi wanawake huwa wana nguvu za kike?, huwa wanaishiwa/pungukiwa nguvu za kike?. Huwa naona matangazo- "dawa ya kuongeza nguvu za kiume". Mbona sijaona tangazo la kuongeza nguvu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimepitia kwa karibu wanasiasa ndani ya kambi ya chama tawala cha ccm na nimebaini ya kuwa wengi wao afya zao ni mbaya na ingawaje hawako tayari kutueleza wanachoumwa kiukweli ukweli lakini dalili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF hii ishafika hapa Nyumbani Tanzania au bado mabadiliko/maendeleo hayajafika kama kule Singida,Tabora na Dodoma?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Nimesikia kwenye heading za magazeti ya kwamba chadema wamepata viti maalumu rasmi bungeni,nini kinamaanishwa hapa?kama kuna mdau anaelewa vizuri kuhusu hili basi atupe data.
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Him; "...wanawake ndivyo mlivyo!" Her; "...wanaume wote mpo sawa!" Kuna "ukweli" gani kwenye nukuu hizi?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF huyo Mdada anahitaji ushauri Mimi ni msichana wa miaka 29 nina elimu ya form 4 na nikasoma Secretary VETA miaka 2 pamoja na Computer n.k…Nikabahatika kupata kazi kwenye kampuni...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
...Kama ningepata nafasi.... ningeomba nipewe ruhusa ya kuongea na aliyefanya mapenzi na mbwa....japo kumuuliza tu ilijisikiaje wakati anfanya kitendo hicho na kitu gani kilichomfanya amfuate mbwa...
0 Reactions
7 Replies
22K Views
Asilimia 48 ya wanaume wanalala wakati wa tendo la ndoa ???
0 Reactions
36 Replies
4K Views
hivi jamani kama mkiwa kwenye sita kwa sita lazima mwanamke alie?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Bonge la ushauri aisee
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji...
0 Reactions
194 Replies
13K Views
Enzi zetu barua kama hii ilikuwa ukishaiandika, unatafuta nafasi ya umdhamiliae awe peke yake ili uweze kumkabidhi, kwa hiyo waweza kukaa nayo kwenye mfuko wa madaftari hata week nzima. Na je...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Swali langu, je kuna ubaya au uzuri kuwasiliana na Ex-boyfriend/Ex-girlfriend wako kwa nia njema wakati tayari ukiwa kwenye Ndoa? Toa Maoni yako
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Binti wa Miaka 10 Ajifungua Mtoto Hispania Wednesday, November 03, 2010 1:33 AM Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 wa nchini Hipsania amejifungua mtoto baada ya kufanya mapenzi na mtoto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom