hbr wapendwa!
naombeni mchango wenu wa mawazo juu ya hili!
kuna rafiki yangu aliniomba nimsaidie kimawazo nikaona c vibaya nikapata na mawazo yenu!
ana mdogo wake wa kike kwa sasa yupo kidato cha...
Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.
Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na...
TYPES OF HUSBAND
THEIR CHARACTER TRAITS
1
Bachelor Husband
This are men who
Love to do things on their own without consulting their wives
Love to hang a lot with their friends rather than...
Habari mazee wngu !
Naomba ushauri yenu.... I need a woman for fun and friendship. am funny guy with slim body etc etc... but I dunno how to find a good lady to take her out as am very busy with...
Ni hivi;
Kila uendapo, wanawake ni wengi kuliko wanaume, lakini kila mmoja akimpata mwanaume, hataki kushare na mwenzake, na wala hawezi kuishi na huyo mwanaume bila kumcheat....! Sasa je...
Hivi wakuu unapopata mpenzi wako mpya na mapenzi ndo kwanza ya motomoto ikatokea akapigiwa simu na na XBoyfriend wake kwanini wanaume huwatuna chukia nakunung'unika mpaka kumwambia mpenzi wako...
Kumekuwepo na majadiliano ya kutosha sana humu jamvini kuhusu matatizo ya wanawake na waume au wapenzi wao - Kutelekezwa, kuletewa nyumba ndogo,kuachiwa mzigo wa kulea familia, kutumiwa n.k.Pia...
Ninauliza hivyo cause, wakati nilipokuwa katika mchakato wa umiliki wa silaha, niliitwa katika kamati ambayo ilijumuisha mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wapatao saba, Swali la kwanza nililoulizwa na...
wadau mambo yenu?
mwenzenu niko kikazi kwenye mji fulani,ni miezi 9 sasa.naishi peke yangu. nimetokea kuwa karibu na dada fulani ambae ofisi zetu zipo karibu.mwanzoni tulikuwa tunakuwa pamoja...
Naombeni ushauri wenu jamani,mimi ni msichana wa miaka 27 sasa,kwakweli nimekuwa nikimuomba Mungu sana anipe mume mwema,mwenye kunijali,kuniheshimu kunipenda mm na familia yangu,ingawa kuna mkaka...
Wakuu habarini!
Hapa nchini kwetu kuna vivutio vingi vya utalii na ni sehemu mbali mbali, kwa hili tumebarikiwa sana. Wazungu hutoka mbeli kuja huku na familia, marafiki , wachumba, wanandoa kuja...
WASHINGTON -- A group of scholars, social scientists, and psychologists are sounding alarm bells that pornography is much more harmful to society than most people think.
The group recently...
Wakuu muda flani hapo nyuma nilikuwa na GF ambaye tulipendana, tukakosana kwa mambo ya kitoto tu, sasa kuna muda akapata mtu wa kumuoa kwakuwa bado tulikuwa marafiki wa kawaida akaja kwangu na...
Nina msichana ambaye kwa mwaka mmoja hatujawasiliana,,,baada ya mwaka mmoja akanibip na kuniambia mawazo yake yako palepale..
Kumbuka hatujawasiliana kwa mwaka mzima,,kutokana na yeye kuwa hana...
Fikiria kuwa wewe una miaka kama mitatu hivi ndani ya ndoa. Ulianza kuwa na mkeo/mmeo kama GF/BF (japo kwa dhamira ya kuja kuwa mke na mume) kwa takribani miezi sita kabla ya kuona. Kwa muda wote...
Kuna huu mjadala umejitokeza kati ya couples eti ni kweli kuwa eti kwa sie wanaume ni jadi kutongoza hivyo basi hata tukioa hatuachi kutongoza? Sasa wanandoa wa kike wanahoji kwa mwanaume aliooa...
Siku moja nikiwa nimekaa na wanawake wawili, stori ilianza na ghafla tukaingia kwenye swala la watoto wa nje ya ndoa....! Cha kustaajabisha ni kwamba hawa wanawake walinibishia kabisa kuwa...