Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

mimi ni mama wa miaka 33 natafuta mwenza wa kuishi nae, nini watoto wa2 ninaishi pekeyengu kwa miaka 9 sasa.mume wangu alifariki kwa ajali ya basi wakati anakuja kuniangalia nilipojifungua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu wa karibu anataka kumfanyia engagement surprise mchumba wake juzi alikuja kuniuliza if I have any idea how do it and make it unforgettable nikampa some ideas nikaona pia itakuwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
wandugu.. kwann matumizi ya simu ni moja ya vyanzo vkubwa vya migogoro kwa wapendanao? na kwa nn wengi wao wanafanya maamuzi magumu ya kuvunja mahusiano kwa ushahid wa simu? Zisingekuwepo je...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikiamini kuwa hili ni jukwaa la walio kwenye "age of majority", na wenye afya zao za kibaiologia, hivyo, wengi wetu wapo na wapenzi wao (yaani barafu za mioyo yao), na hata kama kwa sasa haupo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!. Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja: baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Nipe kalamu nishike, hoja zangu niandike, Nipe nami nisikikike, walimwengu wapilike, Mnipe niliandike, na hili lifahamike, Mke kukimbia nyumba, si wizi ni kuzidiwa!!! Kapigwa mtu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
You may not be an angel 'Cause angels are so few, But until the day that one comes along I'll string along with you.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I've learned that no matter what happens, or how bad it seems today, life does go on, and it will be better tomorrow. I've learned that you can tell a lot about a person by the way he/she...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Sijui kwa nini lakini nahisi kuna cold war kati ya wanawake wenye "videgree" na wale ambao hawakufanikiwa kuvipata hivyo videgree. Nilifatilia thread ya da sophy kuhusu ofa au discount kwa shemeji...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Nakumbuka kitaa kipindi hicho wakati redio ni dili kubwa....... Tena tulikuwa tunaita redio kaseti halafu swali linalofuatia hapo ni "Redio yako ina bendi ngap?!!"...................... Mwingine...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mrembo uko bar mchana wapata raha na mwandani wako(ambaye hamna hata mwaka ktk mapenzi).. unajckia kwenda maliwato kutabaruku.. wamuaga mwenzako, unanyanyuka na wageuka kuelekea chemba.. Ile...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi ile sheria iliyotungwa kumkandamiza mwanaume anapomkonyeza mwanamke ilikuja ishia wapi? Wadada mtusaidie je, nikweli kwamba mwanaume akikukonyeza anaamsha hisia/mshawasho wa kimapenzi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Yamenikuta mwenzenu,, natukanwa mie.. na mwanaume mwenzangu kisa kani-win mchumba wangu,, ishu ni kwamba huyu jamaa amemtongoza na wamekubaliana huko, anaacha kukaa kimya anaanza matusi hivi hii...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Kuna huyu jamaa rafiki yangu mara kwa mara amekuwa akija kutafuta ushauri kwangu, mara ya mwisho kaniambia kuwa kila akilala na mkewe anawaota ma-ex wake nikashindwa kumsaidia, juzi kaja kuniambia...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wana jamii kuna ukweli wowote kuwa wanawake wakiwa katika siku zao wanakuwa wakali zaidi kuliko siku zingine wakiwa kawaida. Nimeliona hili kwa mwenzi wangu, akiwa siku zake ni kitu kidogo tu...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband These are men who Love to do things on their own without consulting their wives Love to hang a lot with their friends rather than...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Eti jamani kuna hili swala mimi nashindwa elewa iweje mahusiano ya kimapenzi ya viongozi yatumike kama sera za vyama vingine.....ooh! Dk.slaa ana mchumba oo! kachukua mke wa mtu.....kwani hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani, Ex wangu ananionea wivu anionapo na wengine...! Je, hii ni kawaida? Nifanyeje; nimtungue, au?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
THIS IS A SORT OF A BALANCE SHEET! CHECK OUT YOUR POSITION TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband • These are men who Love to do things on their own without...
1 Reactions
0 Replies
16K Views
Back
Top Bottom