Yawezekana uko njian kwenye kufunga ndoa
yawezekana bado unafikiri utaoa ama kuolewa lini
yawezekana uko ndani ya ndoa lakini ujaona tofauti na maisha ya ukapera
takwimu zinaonyesha wanandoa...
Mimi ni kijana(mwanaume) na ni mtoto pekee kwa huyu mama.
Ni mama yangu mzazi na kanilea yeye mwenyewe bila baba, na nikimuuliza baba yangu ni nani hanijibu zaidi tunagombana tu!!!
Kanisomesha...
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi...
Nausikiliza huu wimbo hapa ofisini na unanipa hamu ya kufanya kazi. Shukrani kwa mwimbaji kuyatendea haki maneno yaliyomo ndani ya wimbo huu. Kaimba vizuri sana. Shukrani pia kwa mtunzi...
Hivi nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu ndani ya jamii yetu kwenye vyombo vya habari nikakuta stori ni ileile!!Najivunia kwangu tukio hilo halijanikuta!
Nauliza kwanini inapotokea umemchoka...
Jamani bado namfukuzia Natasha, Siwezi mPM maana MOD watasoma, nimekumbuka barua niliyomwandikia mwaka 1994. Huko uliko nijibu, Mwenzako ni Mchungaji ila bado nakupenda
Masa K
In life, no matter how much good there is, you can always find something bad if you look for it. You can find some fault, some weakness, something that you don´t understand or like. You can either...
Our relationships are precious, valuable treasures from heaven, and we should handle them carefully, always looking for ways to build bridges to each other's hearts. I know that all of us desire...
Halloo,
Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye...
Wadau kuna huu msemo kwamba wanaume ni wachache wanawake wengi. Huo sio ukweli kabisa wanaume wako wengi sana ila wale wenye vigezo na wanaofaa ndio wachache. Nakaribisha mashambulizi
Rules To Help You Cheat On Your Spouse
Cheating brings back that energetic spark in ones life. Cheating is
inevitable. To cheat is human not to be caught is divine. Here are a
few rules to help...
Tumetoka mbali hasa tulianza shule miaka ya 1970s!
Enzi zetu barua kama hii ilikuwa ukishaiandika, unatafuta nafasi ya umdhamiliae awe peke yake ili uweze kumkabidhi, kwa hiyo waweza kukaa...
Hey people,
Kwanini maneno mbaya kama hii inatokea katika siku muhimu kama hii?
Je ni jinsi gani rahisi, na ya ustaarabu ya kukata mahusiano na wapenzi wa zamani, hasa tunapoingia kwenye ndoa?
3 Powerful Truths to Help Your Marriage
You know the saying, "Marriages are made in Heaven, but they sure take a lot of maintenance on earth!"
That's the truth!
Great marriages take work and...
Jamani hawa wamarekani naona wameamua ila kwetu wanaleta ujumbe wa kondom mbona kenya wenzetu wamewapa jumbe nzuri ""mke wangu anantosha""yaani walivyoliaanda hata ulikuwa mzinzi kwenye ndoa...
Takribani wiki mbili zilizopita kulikuwepo na habari hapa jeief kwamba moja ya nyumba ndogo za mgombea mmoja wa urahisi ilikuwa hoi bin taabani kitandani kwa maradhi. Ukitilia maanani kwamba...
Wandungu habari za weekend!
Hebu nijuzeni, hivi ama mwanamke au mwanaume akimdate mtu ni lazima wakamegane? Nauliza hivi maana kuna mdada mmoja kahamia ofisi ya karibu na kwangu (meaning ofisi...
Our relationships are precious, valuable treasures from heaven, and we should handle them carefully, always looking for ways to build bridges to each other's hearts. I know that all of us desire...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.