Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

naamni track hii from the amazing BAHATI BUKUKU itabariki week-end yenu! DEDICATED kwa mpakwa mafuta wa bwana MCHUNGAJI MASANILO!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Corinne Hofmann spotted her Masai warrior on a ferry headed for Mombasa in Kenya. On holiday with her boyfriend in 1987, she could not take her eyes off the beautiful stranger wearing a loincloth...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu, Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo idadi ya watumiaji na watembeleaji wa mtandao huu wanavyoongezeka. Tungependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo watumiaji wa mtandao huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Hii nimeona niilete humu ili tuijadili! Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni dada wa 28 years yuko na mmewe miaka miwili ya ndoa sasa ..lakini tabia za mmewe zimekuwa kero kwake. Mwanamme amekuwa na tabia ya kupekuwa pekuwa jikoni makabati ,chumbani yeye akikaa ndani...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
  • Closed
Wengi wamekuwa wakiuliza mambo kadha wa kadha. Hatuwezi kuweka topic hizo kila mara, tafadhali unaombwa kusoma topic hizi mara kwa mara: JamiiForums Rules How to use JamiiForums effectively...
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Nimeipata hii nikaamua niwashirikishe! ............men wants 3 qualities in wives;economic in kitchen,artist in home & devil in bed bt they get;artist in kitchen,devil in home & economist in bed
0 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yaani mmeishi na Mmeo/Mkeo, GF/BF wako kwa muda mrefu tu! Baadae Mwenzio anaanza kukusisitiza uvae nguo zake za undani! au muwe mna badilishana leo unavaa yake na mwenzio anavaa yako! Hili ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wapwaz na binamz! Nawapenda na ninawakumbuka........namshukuru mungu kwa UHAi na Afya njema ! Stay blessed!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaaamu wakulu! Yaani mke kaingiwa na imani ya dini ajabu! Basi kila siku 1 ya juma anaenda kushinda kwenye mkesha kanisani! Tena unakuta ni mwisho wa juma ambapo unamuhitaji sana hasa kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair. His lower disc has been compressed ,ana...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Mmemegana na binti kwa mara ya kwanza, hujatumia kondom. Muda wote wote wa tukio anatoa ushirikiano ile mbaya, mkimaliza shughuli ndio anauliza "Tumefanya bila kondom, nikipata mimba je?" Yaani...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Moyo ukija kupenda, wenda ukidundadunda, Mtu aanza kukonda, anapomkosa nyonda, Alalama kama konda, mwenzenu kumbe kapenda, Mtu akiisha kupenda, huogopa kuvurunda Kupenda kweli ni kazi...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Mjane mdgo akifiliwa anafaa aolewe mjane asiefikisha miaka 60 sharti awe na mwenzie wa kumliwaza yawezekana we ni katka hawa walio chini ya miaka 60 sio maneno yangu ni neno la bwana mungu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Unakuta mkeo anapigiwa pasi na HG nguo zake za kwenda kazini na mwanaume unajipigia pasi mwenyewe na ukimpa HG akupigie ni ugomvi na ukimwambia mkeo akupigie anakuambia anajisikia uchovu.... hapo...
0 Reactions
163 Replies
11K Views
"Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
naamini wengi wamepitia hatua hii
0 Reactions
12 Replies
2K Views
just curious.. Does a 'FEMINIST'(the 50 by 50) woman got a chance to be your life partner??:eyebrows:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom