Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi huwa saa nyingine nakaa peke yangu najirudisha nyuma kima wazo nawazua nalinganisha na baki nikiumiza kichwa kwanza niliwahi kujiuliza nini kimebadrika katika maisha wakati ule na wasasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
najua utakuwa unaona kama nakubore au nakusumbua sana but naomba tu unielewe kwamba ni roho wa bwana amenena ndani yangu kwamba nikushawishi uachane na habari za kaunta(valuu), uachane na habari...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Tumshauri jamaa yangu jamani, msikilizeni anavyosema `Majuzi wakati tunatimiza jukumu la ndoa, nilielekea kwa bahati mbaya kwenye mlango wa uani (ti.........) wa mke wangu!!!!!! Cha ajabu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwanza nawashukuru sana wapya, cousins, madada, wakaka kwa mchango wenu uliotukuka jana! Lakini inaonyesha huyu rafiki yangu jembe lake kwa kipindi kile (>10years) lililinatumika katika kilimo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ivi mwanaume mwenye ndoa anaweza kukaa muda gani bila kumgusa mkewe namaanisha wanaishi vizuri tu lakin jamaa haonyeshi interest kwenye iyo kitu labda mke amuombe hata mwezi unakatika nini inaweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na Bwana mmoja akanisimulia kisa hiki: siku moja bwana huyo alichukua bibi akaenda naye chemba akiwa na gari lake walipofika maeneo yao ya kujidai bwana yule...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
When I was a kid, my mom liked to make breakfast food for dinner every now and then. And I remember one night in particular when she made breakfast for dinner after a long, hard day at work. On...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na rafiki yangu alinipa habari moja nikamsikiliza lakini nikawa na wasiwasi nikaona ngoja nije nii mwage hapa janvini!! Eti aliniambia eti ukiona mkeo anasisitiza safari yakwenda mahali wiki 2...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ingekuwa vipi, kama machangudoa wasingekuwepo, kasi ya kuibiana wapenzi ingeongezeka? sijui wewe utajibuje?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuandika kwa mara ya kwanza kuwaomba mnipokee kwenye forum.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanandoa wafariki kwa kuning’inia Send to a friend Wednesday, 29 September 2010 08:40 0diggsdigg Joyce Joliga, Songea WATU wawili ambao ni mume na mke wamekutwa wakiwa wamefariki kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi niko hapa ughaibuni (nchi kapuni - for security reasons), kama wengi mnavyojua mara nyingi ukiwa nje ndugu, jamaa na marafiki kule nyumbani bongo huwa wanaomba kila siku ‘uwavute’ nao waje...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nimepokea PM kutoka kwa mshikaji anaulizia kwa wazoefu hivi mwanaume akikaa miaka kama kumi bila kufanya tendo, jembe lake litakuwa kubwa ama litapungua? Rev Masanilo, heshima mbele kaka...
0 Reactions
210 Replies
14K Views
HOW MUCH I CARE I received this and I decide to pass it to you. Whether it’s a true life story or not, I don’t know, but the lesson is there for everyone to learn, including me and you, you...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Kuna kautafiti nimefanya kwa kipindi cha takribani miezi 2 hivi. Nilisikia jinsi baadhi ya rafiki zangu wakizungumzia kuhusu wasichana wa chuo fulani na shule fulani. Nikataka kujua je ya kweli...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
una mpenzi wako toka mwaka 2005 ni wapenzi hasa lakin hamjawahi kufanya NGONO.na sababu zilikuwa yeye alikuwa bado sekondari na wewe chuo na muda wote alikuwa akiniahidi kuwa akimaliza shule...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
I must confess that i wokap veery happy and thankful to have reached this milestone. I am also suprised that i share this special day with the king of Infidelity, my dear binamu Teamo. "Happy...
0 Reactions
124 Replies
8K Views
Jamani eee nauliza kati ya ze konyagi na ze valuer ni ipi yenye kuwapa tafu kunako game za baada ya watoto kulala?
0 Reactions
42 Replies
8K Views
A store that sells husbands has just opened in ( MUSHIN LAGOS NIGERIA ), where a woman may go to choose a husband. Among the instructions at the entrance is a description of how the store...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iko maeneo ya Sakina. Leo asubuhi nimeenda pale kunyoa nywele, ndevu na kufanyiwa mambo ya scrub usoni, sa yule mrembo aliyekuwa ananifanyia scrub akaniambia na massage ipo wanafanya na yeye ndiye...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Back
Top Bottom