Mara nyingi kwenye familia zetu unakuta baba na mama wanaendelea kulala na mtoto chumba kimoja hata akifikisha age ya miaka 2!je, usiku inapotokea mtoto kashtuka usingizini akaona baba anafanya...
Mapenzi haya ya sasa, si kama yale ya kale
Tumeuvika usasa, tukakosoa wa kale
Kila mtu mambosasa, hakuna katoto kale
Wote tumekuwa hodari, mapenzi kuchakachua
Si wakubwa si wadogo, hata ngazi...
Dah.....I know Asprin and the team is goin to hate me for this...
lakini ni vizuri kuzingatia haya:
1. Maintain appropriate walls and windows. Keep the windows open at home. Put up privacy walls...
habarini za asbh wapendwa si haba kumshukuru mwenyezi mungu mjaza neema ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba kwa kila amwitae.....yamkini aijulikani wewe umandikiwa ipi kati ya hizo wiki...
Wapendwa habarini za kwenu
naona ni vyema kukumbushana kwa wale walioamua kuja kutest laza ya ndoa na kuona kwao inawashinda si mbaya kama mkikaribisha michango ya kuvunja ndoa zenu pia na si...
Utalia?
Utamrudishia?
Utamkiss ?
Utamwambia i love u
Hutaongea nae 1 day , 1week ,month or a year,
Utaachana nae /:couch2:
have great weekend !
NB: nauliza tu..... Wanaume mnaruhusiwa kuweka...
Napenda kuchukua fursa hii kuwatambulisha rasmi hapa jamvini kwa niaba yao mahabubu wawili ambao ni wanachama hapa tokea mwaka 2007.
Mahabubu hao ni 'ngosha' Steve Dii na 'check sista' Gaijin...
Hivi kwa nini hizi kesi za wanaume kuwapa mimba wanafunzi mara nyingi zinaishia kwa mazungumzo ya kifamilia na hazifiki mahakamani na kama zikifika mahakamani wengi hawahukumiwi.
Maana kumpa...
Wapwa habarini za mchana wengine asbh wengine kwao usiku basi tu comp aisemi lakini yoote kwa wale leo ijumaa wapendwa si haba kuangalia tutaondokanaje na laiti ningalijua..tusije lalamika...
MKAZI wa MKAZI wa Kiwalani, Bi. Halima Thomas (28) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka ya kumkata uume mume wake.Mwanamke huyo alisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu...
Kwanini sisi wanaume tuhangaikiapo Demu kwa muda mrefu na kumpata na ukisha m-du unabaki ukijilahumu kwanini ulikuwa unahangahika hivi??hupati jibu?hata radha husahaulika!!nakuona kile kitu kama...
BABA KATIKA JINA LA YESU
JIONI HII NAKWENDA KINYUME NA KILA NGUVU ZINAZOONGEZA NYUMBA NDOGO KWA MWANA JF NA KILA MTANZANIA..NINALAAN KILA ALIEVAA VAZI LA KUTOFUNGA NDOA
VAZI LA KUACHIKA ,VAZI LA...
Mimi niko hapa ughaibuni (nchi kapuni - for security reasons), kama wengi mnavyojua mara nyingi ukiwa huku nje ndugu, jamaa na marafiki kule nyumbani bongo huwa wanaomba kila siku ‘uwavute'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.