Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi nyie akina Mama nikwanini unapokuwa unatongozwa lazima unizungushee na wakati unajua fika utanikubalia kwa nini usikubali mapema tukaokoa mda??Yaani anakataa mpaka anachojoa!!Mpaka ikifika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
am a new member, want to say hello to all jamiiforums members
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani kila mtu ana mjanja wake,au kila pori lina mwenyewe...naomba kuuliza kwa wote hapa WANAMAPENZI,Preta,Birigita na wengine wote,je wewe kaka au Dada nani alikutoa UTEPE?I mean mjanja wako wa...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Jamani kweli hii ni njia panda kwangu, nilimfuma boyfriend wangu akiwa na mrembo mwingine, kwa upendo wangu nilimfuata na kumuuliza je hapa ndiyo safari uliyoniaga ya kuwa utakuwa mkoani for...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hapa zile sheria zetu za infidelity hazi-apply jamani....Please beware!! 25 tips for relationship success 1. Without quality time, your relationship will not survive. Carve out at least half...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
people....kuna vitu that vinanishangaza sana,one being a belief that love doesnt exist in the modern world..kwanini infidelity and cheating imekua jambo la kawaida sana to many?m2 anaeza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
inakuwa vip unabaaada ya shuguli swali hili usikate tamaa toka nje kunywa maji rudisha feeling atakuheshimu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza ni kwa kiasi gani akina dada wengi, si wote linapokuja suala la kutaka mapenzii basi mwanaume ndio huwa mwanzilishi lakini mchakato unaposhika kasi huyu mdau huwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari waungwana?Hebu tujuzane kwenye hili: Mwanamke aliyelala na mumewe usiku akawa anaota ndoto usingizini na ghafla akapiga kelele "jifiche mume wangu kaja" au mumewe aliyesikia hizo kelele...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tangu nimebalehe, nimetembea na wasicha wadogo au wa rika langu wasio zidi wawili. Lakini cha ajabu ni kuwa mahusiano yangu yote ni mimi na wanawake wanaonizi umri, kinachowavutia kwangu sikijui...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Jana usiku baba mwenye nyumba wangu alikuja kugonga dirishani kwangu usiku muda wa kula daku. Nikaenda kumfungulia, akaingia ndani akiwa amevalia msuli wake na kizibao cha ndani aina ya singlend...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi napenda niwatakie maisha marefu wale wote tuliozaliwa siku kama ya leo. Ningependa tuazimishe siku hii kwa amani na upendo, Na ningependa tukutane walao tupige moja baridi moja moto leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama Umemkuta mume wako na Mama yako katika Mkao a kimahaba utafanya nini?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Imenitokea kama mara mbili hivi kuwa na wapenzi ambao hawakuwahi kukutana kimwili na mwanaume mwingine. Kwa bahati mbaya (tena kwa wote), I had from them the worst experience of making love, na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CHAKULA CHA USIKU: WAHANGA SASA NI WANAWAKE! Mwambie, usione haya Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wazungu wanapenda wanaume wenye dread wakiamini kuwa asili ya mtu mweusi ni nyani. Kwa hiyo wenye mi dread wako jirani zaidi na nyani kwa kuwa yale marasta huwa wakati wa shughuli hutekenya kama...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Rafiki yangu ameoa,na mungu amewajalia ndoa yenye furaha tele na watoto wawili juu.Bwana ni bosi mkubwa tu katika wizara moja,na mama naye ni katibu muhtasi katika moja ya idara nyeti serikalini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu great thinkaz!!! Jamani dada/mama aliyeolewa au anayeishi na mwanaume kama mume na mke naomba kuuliza, Je ni vema kumwekea mumeo Kinga i mean Condoms kwenye begi anaposafiri kwenda...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani kufuga mbwa kuna faida zake. Simnaona!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom