Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mnabidi muwe "extra vigilant" wezi na wabakaji wamebadili style: Man faces series of drug, rape charges By JULIUS BWAHAMA and DOREEN TAGALILE, 25th August 2010 @ 12:00, Total Comments: 0...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono. Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii ni kwa msaada tu wawale wanaokimbilia wanaume white na kuhisi ni more handsome kuliko black..jamani sikuhizi wanaume wanajichubua muwe makini sana huku mikochen kuna visaloon vinawawasha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni Jini Jamani??!!! Ni hivi, nilikuwa natoka kazini nimesimama stand ya daladala nikisubiri usafiri kwenda home, ilikuwa kama saa tatu hivi usiku as usual tulikuwa wengi stand hivyo sikuwa na...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wapwaz na Binamuz.................niombeeni nifike salama!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter. Nimekaa...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
My dears.....when two become one things start happening....ahahahha and at a very fast rate.....sasa nawaletea habari njema..... kuna katoto katarajiwa.....InshaAllah december!!! so mkiona...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu, mimi na mke wangu tulimchukua mtoto wa kike wa shemeji yangu kuishi naye hapa mjini! juzi wife(shangazi wa binti) ameniambia kuwa mdogo wangu anavinjari na huyo binti ambaye anatuita...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati wa ujana kabla ya ndoa vijana (naongelea wa kiume) mara nyingi uwa na tabia ya kuongelea jinsi walivyongonoka na demu na style alizotumia kuanzia alivyomtongoza mpaka jinsi walivyochinja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna jamaa ameoa msichana ambaye alikuwa girlfriend wa jamaa yangu siku za nyuma na ni rafiki yake wamekuwa pamoja, sasa tatizo linakuja kuwa jamaa anashindwa kwenda kumtembelea huyo jamaa kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Instinct guards insects, birds and animals in sex….! What guards men?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mume wako anakwambia alizaa na mke wa mtu ambaye alikuwa EX wake,unakubali kumsaidia kumpeleka mtoto hospitali na kusaidia mahitaji.Unapanga kumtafutia kazi mama huyo ili aweze kumtunza mtoto wake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mimi sijui nijiite mdada au mmama, nina miaka 30 na nina mtoto mmoja ana miaka tisa. Nina kazi yangu nzuri kiasi inakidhi my basic needs including food, clothes and shelter. Nimekaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaam. Ndugu yenu ni mzima wa afya njema. Wiki mbili zilizopita niliamua kumuonyesha wife kuwa hata mie mambo ya Wimbledon nayaweza. Nilimnyonya nanii, na kuichezea sana kwa ulimi wangu...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
nimekuwa nikivutana na mwenzangu akisema fedha ndio chanzio cha ukimwi huku nikiamini uzinzi ndio unawaua wengi..ndugu ze tusaidiane kwa hili
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inakuwaje ndani ya ndoa mtu na mme wake wanabakana? Kama umesikiliza leo asubuhi BBC kuna sheria mpya inatungwa hapo kwa wakwe Uganda sheria ya ubakaji ndani ya ndoa yaani mmoja akinyimwa basi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika marafiki zangu wa kike asimia kubwa walipenda kuvaa kufuli nyeupe ktk majamboz. Je rangi ya kufuli huenda ikapelekea hisia kuwa kali ama kupungua ktk mapenzi?:violin:
0 Reactions
68 Replies
11K Views
Habari wadau wa JF Kuna jirani yetu ambaye tunakaa naye same compound alizaa watoto wawili bahati mbaya wote wakafariki kabla hawajafikisha hata umri wa miezi sita na wote walifariki kwa ugonjwa...
0 Reactions
22 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…