Wakuu heshima mbele....
Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye...
Ni mara nyingi kumkuta/kuwakuta watu wakiongea in a negative perception kuhusu nyimbo za taarabu mbele ya watu!utakuta mtu akisema, "ooooh unajua nyimbo za taarabu mimi sizipendi kabisa kwani...
Tiger Woods na Mke Wake Wameachana
Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua...
Do you know the 7 deadly lies that women are taught about men? Do you know that these beliefs cause more problems in relationships than most women realize. What are these lies?
Lie #1 Men are...
Habari wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kidogo kuhusu hii hali ya wanaume walio wengi kuonyesha interest ya mapenzi kwa akina dada wenye makalio makubwa. sina hakika kama ni tamaa tu au...
C/O Mwenyekiti wa E.K
Shule ya Msingi Mtakuja
S.L.P 76
Makelenge Stendi
Mpendwa Belinda,
Kwanza salamu,ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali...
Look at how a group of men behave every time a woman (or women) passes. Chances are that their eyes will follow the woman until she disappears.
It is as simple as that - Men will always...
Habari wana JF
Naomba msaada maana hapa nilipo nimekaribia kuchanganyikiwa baada ya kutendwa na mtu niliyempenda na kumuamini sana hapa duniani....
Mimi ni mama wa mtoto mmoja lakini nina...
Asalaam al-yhikum jamii!!!-Usiulize::lol:
Hivi kunaukweli kwamba wanaume wapatapo kibrudisho cha nje hukuta anaelemewa nakupoteza mwelekeo nakukuta kiburudisho kinakuwa na nguvu kuliko wife...
Dr. NN,
umeshasikia Pink pill inayoitwa Flibanserin?
if not please read the information here:
The Tyee – The Sex Pill for Women
Flibanserin - Wikipedia, the free encyclopedia
Ningependa...
Waungwana;
Naomba maoni yenu. Kwa mtazamo wa Kiafrika (au niseme labda wa Kitanzania) wa jadi hoja ya mwanaume kuwa na mwanamke mpenzi mmoja tu ni ya zama hizi au toka kale? Nimekuwa nikiulizia...
Nina rafiki yangu mwenye umri wa miaka 29 katika kuhangahika kwenye maisha ya mapenzi amefanikiwa kupata mwanamke ila huyo mwanamke aliishawahi kuolewa na akabahatika kuzaa mtoto mmoja bahati...
Habari wana JF?!!
Ndoa yangu ni changa sana, ina miaka minne tu but we spent almoast six years in relations before marriage.
Nimesomesha huyu mke kuanzia diploma hadi degree na mwenzangu kawa na...
You either Take it Or Leave It!lakini naomba mtupe nafasi ya kuwashauri.....!
inawezekana sio wote,au si wewe unaesoma hii thread lakini WENGI WENU wana udhaifu mmoja mkubwa sana na MDOGO SANA...
Habarini wana JF
Kuna jamaa yangu (hajaoa) katika kuruka ruka na njia amekutana na demu mmoja mzuri sana kwa sura, ana shepu nzuri ya kumfanya m/ume ageuze shingo akipishana nae ana kiuno cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.