Baada ya kusikia kuhusu Jamii Forums, nimeamua kujiunga maana nasikia kuna vitu vingi ikiwemo ushauri mbalimbali.
Basi leo naombeni mniksribishe kwa kunipa ushauri kuhusu hili maana linanisumbua...
Kuna familia moja imehamia mtaani kwetu ni kama miezi 7 sasa tangu wahamie hapa. Huyu bwana amekuja yeye na mkewe na watoto watatu, mmoja ni wa kike anasoma sekondari na wawili ni wavulana wote...
Haya ni mawazo ya wazungu kuhusu watu weusi wanaohusiana na wazungu!
Machozi yamenilengalenga honestly!
THE SADDEST STORY
[This is the story of what happens to a pretty Aryan girl when she sinks...
wadau,katika utu uzima huu, hivi unaweza kuwa na rafikiyo, best yako wa hali na mali, mnashirikiana kwa kila kitu...... HADI KWENDA KUKOGA PAMOJA BAFUNI?!:A S 39:
Mbona hainikai vema akilini hii!!
HII KWAKO WEWE ULIYEKATA TAMAA YA KUOLEWA AU KUOA.
kabla sijaanza kujipodoa kuelekea ktk kiofa cha dinner alichonipatia barafu wa mtima wangu,ningependa kuwaachia zawadi hii.
:A S-rose:lav you...
Jamani nawamiss na kuwapenda sana,sitaki kuwapoteza marafiki zangu wa ukweli,for those who wanna get in touch with me just ni inbox will give u may personal details,Thanks JF for the changes...
Ghafla Bin Vuu mtu anakuja nyumbani kwako na kukuachia mwanae akidai mwanao amempa mimba mtoto wake?she iz 19 yrs old
Na Je wewe mzazi utafanyaje unapopata taarifa juu ya hili la mwanao ni...
Be Honest in whatever you doTwo Christians were lost in the Sahara desert One is David, the other is MichaelThey were dying of hunger and thirst when they suddenly came upon an oasis,with what...
Habarini wandugu!
"Je wewe ungependa kuishi mkoa gani hapa Tanzania ukiwa na mpenzi au familia yako hata kama hujabahatika kuishi huko na ni sababu gani zinakupelekea kuupenda huo mkoa na ukapenda...
A boy was born to a couple after eleven years of marriage.
They were a loving couple and the boy was the apple of their eyes.
When the boy was around two years old, one morning the...
Habarini wanajamii wote. Ni chemistry gani inawafanya wapenzi wawili wadoo kwa muda mrefu bila kuchoka?. Wanaweza kuspend hata siku nzima bila kuchoka. Ni juzeni tafadhali.
Fatulia mazungumzo haya ya mme na mke wakiwa kitandani baada ya kutoka kwenye party. Niliyoyanasa wakati napiga chabo
HUSBAND: Who was that man were u dancing with?
WIFE: A friend of ziglers...
Kuna jamaa yangu mtaani analalama kuwa mke wake anapenda sana tamthilia zinazoonyeshwa kwenye TV. Shida inakuwa jamaa anapenda kulala mida ya saa nne, lakini unakuta mke anakuja kulala saa tano na...
Wakuu kuna hii tabia ya kinadada ya kupaka sijui inaitwa lipshine mwenzenu nikiiona nachanganyikiwa hata akiwa anaongea sisikii kitu mi macho yangu yote jinsi midomo inavyofunguka,sasa sijui ni...
Ni rafiki yetu wa familia. Tulifahamiana tangu high school. Amekua na mahusiano na msichana mmoja ambae baadae alikuja kugundua kua anatoka na baba paroko.amejengewa nyumba pia
Wakiwa chuo kikuu...
Mmmmmh kwa hili nimechoka
kuna watu waniibia serikali kweli lakini na awa ndugu zetu wanaotuhudumia lazima nao
waijali kidogo serikali....nimeomba kama mko karibu nao waambieni nao wawe wanatoa...
Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu"...
Wapwa na mabinamu
hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.
Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.