Hakika haiwezekani ntu mwenye uzima afanye miujiza ya aina hii. kumtambia mke kwa kimada. na kama akiwepo mke anafanyiwa hivyo akakubali madudu hayo lazima akachunguzwe akili kwanza. na kimada wa...
Monday, August 09, 2010 10:53 AM
MSICHANA mmoja jina kapuni [25] mkazi wa Banana jijini Dar es Salaam, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuchoshwa na...
Kiukweli kwa muda wote uliopita takriban mwezi na ushee umepita bila mi kuonekana hapa, nlikuwa napata shida sana kucope na hali hiyo, niliwamiss wote, kila mmoja kwa namna ya pekee. nashukuru kwa...
wadau,
Niliona mchungaji flani anaalkia wanandoa katika chakula cha jioni(kinalipiwa, si bure) kwa ajili kutoa elimu kuhusu ndoa. yeye kama yeye kaachika!!
hivi inaingia aikilini kupewa...
Mpenzi wako kakuomba hela kama Sh 500,000 na akasema atakurudishia kumbuka yeye ni mkeo/mmeo je utamdai hizo hela ikiwa hataonyesha dalili za kukurudishia? au utamwachia?:welcome:
jAMANI KUNA TABIA INANICHEFUA KULIKO KICHEFUCHEFU, UTAKUTA MTU ANA MKEWE HALAFU NA PEMBENI KIMADA KAMA KAWAIDA YA MWAFRIKA.
ANAPOTOKA OUTING NA KIMADA BASI MKEWE AKIMPIGIA SIMU HATA KAMA KUNA...
...haya tena wadau.
msimu wa mavuno umejirudia, mkiniona kimya mjue navuta uradi, kutubia na kuomba maghfira kwa Subhana wa Taala.
Mambo ya Mapenzi kwa sasa mnh! ...
Tutaonana September 10...
Umezuka ubishi hapa nilipo. Wanaume walioko hapa wanasema kwamba wanawake wanaonyonyesha huwa hawana hamu ya kukutana kimwili na wanaume eti kwasababu huwa wanaponyonyesha huipata raha( hufika...
Wandugu za leo,
Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama...
Wanandugu nimekaa nikafanya exp yangu ndani ya ndoa na kuangalia watu mbali mbali walioathirikka na ndoa nimeona kesi nyingi zimedondokea kwenye uzinzi uasherati na ufiraji...
leo hiiniimekuja...
Mmmhhhh najua yawezekana ni siku nyingi sijaenda lakini hope kwa wale wa current members wanaweza shauri hili ...kuna visabuni vidogo vidoo hasa lodge za sinza sijui wanabana ama lah
kwa kweli...
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
jAMANI VUNJA JUNGU NAGAWA URODA BURE ILA KWA MPANGILIO MAALUMU ZINGATIA YAFUATAYO:-
1) UWE NA SHAFTI YA UKUBWA WA NCHI 30
2)PUMZI ZA KUTOSHA KUANZIA BAO 6 KUENDELEA
3)UKISIKIA UTAMU USIPIGE...
Jirani zangu wawili ambao ni vijana kiumri wana watoto wachanga/wadogo. Wa kwanza aliwahi kuzalishwa na mtoto alipoanza kutembea akampost mkoa kwa babu zake. Yeye anakula raha tu kwa...
jAMANI VIMADA WOTE NAWATAKIA LIKIZO NJEMA KWANI WANAUME ZA WATU WANAINGIA MFUNGONI WATAKA KUPIKIWA FUTARI NA WAKE ZAO NA SIO KUWAPA SHIDA MUWAACHE KUWAKERA WAFANYE TOBA NA IBADA KAMA MWEZI...
Kila Jumatatu saa tatu Usiku Redio Maria Inarusha Kipindi Kiitwacho Wanamaridhiano.
Kipindi cha jana kilikua ni marudio ya Jumatatu iliyopita.
Now comes the story.
Kuna dada mmoja ambaye ni...
kuna jamaa mmoja alikwahi kuandika ktk mtandao fulani kuwa anamba ushauri ufuatao
.....kuna jamaa ana girl friend na ktk ku-do kuna siku wakati wamemaliza round moja wakiwa wamejibrekisha huku...
Ndugu zangu si kwamba nina exp ila
leo nimejaribu kusaliimia ndugu zangu wa karibu kwa kweli
kila nyumba niliioningia nafunguliwa na dada anawahi kugeuka...
Lipo tangazo linasema 'ingia mchezoni ujikoki na tIGO' alaf wakati wanasema hivyo kuna wadada wanakuwa wanacheza na kugeuka nyuma kiasi sketi zao zinakuwa zimewaacha wazi kidogo kwa nyuma. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.