Umempenda demu! Umemtokea ! Kakupa Big YES, Unapiga naye romance za kufa mtu! bila ya kufanya tendo la ndoa unampeleka au unaagana naye anaenda zake, kwa kukuahidi kesho ndiyo mpambano wa gemu la...
Wives who claim their husbands should help out more around the house because women work a "double shift" at the office and in the home are misguided, according to research.
If both...
Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),kuna wadada watatu wakawa wanasimuliana inavyoonekana yule mmoja ndiyo yaliyomkuta.alikua anasema alikutana...
It's wondrous what a hug can do,
A hug can cheer you when you're blue.
A hug can say, "I love you so.",
Or, "Gee! I hate to see you go."
A hug is, "Welcome back again."
This Hug Is Meant For...
Nimekuwa nikiongea na marafiki zangu na wengi (mademu) wamekuwa na maoni kuwa wanaume ambao hawajaoa ni wachafu ukicompare na waliooa kwa kurefer observations zifuatazo;
i) Wanaume wengi ambao...
Wana JF
Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?
kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana...
Ulishaona mtu ambaye kashindikana ( mke au mume) lakini akafika mahali akawa mpoleeee! Mnadhani inawezekana vipi? hakuna mzizi wala hirizi hapo!
Kazi kwenu!
Haya wapenzi wa shangilia ushinde
nimerudi tena leo hii wacha tujiweke sawa na mambo yetu..wapo wengi wanapenda kuoga baada ya kufanya mapenzi lakini kuna mada moja imeongelewa sana tangu asbh...
Inasemekana mwanamke asiepata kichapo kizuri cha chakula ya wakubwa mara kwa mara huwa bitter........kama umewahi kufanya kazi chini ya Boss mwanamke au unafanya kazi na wanawake ambao hawapati...
Hili swali najiuliza bado hivi ni kwa nini wanandoa sijawahi kuwakuta guest lakini kila nikifika enzi hizo nakutana na wezi wa ndoa ama wezi wa wachumba wa watu......bado najiuliza hivi nitamzaa...
Yawezekaana unajiuliza nini hiihii ni sehemu ya malavidavi iko kunduchi hakika ni kama kijiji lakini ukiingiakwa ndani ni mabenzi basikeli bajaji zinawaleta wake za watu kwa ajili ya hukumu...
Nimeona, hasa miaka ya karibuni...
Wazazi wengi.. hasa wenye ukwasi... wanajitahidi kuwapa mazingira 'bora' watoto wao... watawafanyia kila kitu kiasi kwamba mtoto anakua kila kazi ya mikono...
The women who choose not to be mothers
More women in the developed world are choosing not to have children. So why do friends, family, colleagues and even strangers think it's OK to question...
Wapendwa si haba kumshukuru Mungu kwa uweza wake wa ajabu kwa kutfikisha hapa tulipo.
Pili napenda nimshukuru Mungu kwa kunizalia mama mkwe ambae bila kujua akanizalia mwanae ambae leo hii...
Mpenzi anaekili kuwa ka-cheat mara nyingi huwa na mapenzi ya dhati, anajua kosa lake na pia anaumia kama unavyoumia wewe au pengine zaidi kwa kile alichokifanya na uwezekano wa yeye kurudia kosa...
Naomba msaada wenu wana JF mnisaidie maoni.
Mimi nina GF wangu akikosea usimwambie, ukimwambia umekosea kufanya jambo fulani basi
hapo atatafuta kila njia na namna na wewe uonekane kukosea ili...
Wa-JF
Ningependa kupata mawazo yenu kuhusiana na mahali muafaka kwa ajili ya kuifanya hii kitu (kwa Tz)..
Pia ni kitu gani wadada wanategemea..
Brothaz twatakiwa tufanyaje kuifanya iwe SPESHELI...
Wakuu, heshima mbele!
Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa, akiniona tu anaanza kutapika na chumbani amehama kabisa! Kwasasa analala chumba cha peke yake! Kadri ujauzito unavyokuwa na yeye ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.