naombeni msaada wa kiroho, nahisi kama nimeingiwa na pepo mbaya na sijui nitatoka vp, kwa mujibu wa dini yangu ni kwamba huu mchezo ni mbaya sana.
im about 28 yrs old, nina mchumba ninayempenda...
Nimesikia wanaume wakilalamika kuhusu wanawake na kutotoa manuguniko ya kimahaba but the worst culprits ni hao hao wanaume.Wengine ni kama mizoga - hata hapumui - hata akifika ukingoni ni macho...
Wadau..... ktk kukaa maeneo flani na vidosho(hasa masista duu..) wana vimaneno vingiiiiiikifika kujadili khabari yetu vidume... ila sikio langu limenasa haya maneno matatu ambayo huwa siyapatpati...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nimeoa! Ninampango wa kuzaa baada ya miaka 6 kama mambo yakienda vizuri. Mke wangu ana umri wa miaka 21 na tumekuwa tukila 'chakula cha wakubwa' mara kwa...
Makaka sometimes inabidi nasi mara moja moja tuwe tunayatia mapenzi chachu hata kwa kufanya kakitu kadogo kuonyesha kuwa unamsaidia wife. Sio unakuta kaka mwingine yeye anachojua ni kufanyiwa tu...
Wakuu,
Hivi nimejaribu kuchunguza miaka imepita nasijapata jibu naleta kwenu mnijuze kwa nini,
Kwanini unapokaribia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan vitu upanda bei??
(a)Mnyama mauzo yake...
Leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC na katika moja ya taarifa zilizonishangaza ni kuwa nchini botswana kuna sheria inayomkataza mume au mke kumfatilia mwenza wake pindi mmoja wao anapoamua...
Jirani yangu ambaye anaishi gorofa moja juu yangu kila wakati akifanya mapenzi huwa ananiamsha kwa sababu kitanda chake kina piga kelele sana.Tena huwa ni katkati ya usiku kuanzia 1am to 3am.Hii...
Wapenda kila nikiingia na mipira narudi nayo nje
na hii imekuwa baya pale binti anapoanza kuvua yaani hamu ya mipira inaondoka najikuta kama sio mimi yaan sijui ni pepo ama naombeni mniombee kwa...
Kuna jamaa yangu mmoja ana kitabia kichafu cha kutembea na wake za watu huku naye ana mke tena mzuri wa sura natabia. Sasa hivi karibuni alimtokea mke wa mtu ofisini anapofanyia kazi mkewe,na...
We na mkeo mmeanza maisha na wote, mwafanya kazi sehemu tofauti na huwa mnaondoka alfajiri kwenda mihangaikoni na mnatumia daladala. Kila siku kuna jama anapita na gari lake na mkeo anakuambia...
20 signs that you should end it
Has your relationship run its course? Here's how to tell
Relationships, like hot summers, often look better from a distance. Just as you forget how...
nimewahi sikia na kusoma through internet kuhusu
haya magonjwa yanaitwa sexual disoder but sikuwahi sikia kuwa kuna wa africa nao
siku zote nimeamini ni wazungu ndo wagonjwa
mfano wa stori hii...
Ukiwa na mpenzio/ mume/mkeo mwatembea mmeambatana, mara inapotokea jozi (pea) nyingine ya wapendanao mkapishana nayo, jaribu kuchunguza kwa makini...
Wengi ya wapendanao huwa wanapoteza kabisa...
Kumbe wamarekani wanayajua mapenzi kuliko sisi. Kumbe tena wako wazi kuliko sisi. Wako wazi kiasi cha kuwa na ndoa za mikataba. Wako wazi kiasi cha kuruhusu mahusiano ya jinsia moja! Kumbe wanaona...
Hivi jamani ni utandawazi au maisha magumu???
Mimi sielewi nini kinatokea kwa wadada waleo sijui nimaendeleo??au njaa zanmani ulikuwa ukiwa na demu unaweza kupatakiburudisho zaidi ya x6 hivi...
For all those men who say, Why buy a cow when you can get the milk for free. Here's an update for you: Nowadays, 80% of women are against marriage, WHY? Because women realize it's not worth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.