Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna hili tangazo la redioni kutoka hawa jamaa wa championi kuhusu kichagizo cha mawasiliano miongoni mwa wanandoa huwa linanifurahisha sana. Hata hivyo, kuna angalizo nimegundua kuwa yule mama...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wadau kuna tabia inajitokeza hivi sasa kwa baadhi ya wanandoa kutokeapo kutokuelewana ama mataiizo baina yao basi moja kwa moja upande unaoona kuonewa huamua kwenda kuyasema matatizo ama kutafuta...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani nakumbuka wakati niko teenager nilikuwa natoka na dada wa rafiki wangu kipenzi,it was awkward lakini nilikuwa nampenda dada yake vibaya sana.tulikuwa tukifanya siri,kwa kweli ni yeye tu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Short women more successful with men Shorter women are more likely to have long-term relationships with men, and more likely to have children, according to a study of 10,000 people born in...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Kuna jamaa mmoja kijana kabisa katika ile mikoa ya pwani inayosifika kwa ushoga achana na Dar, jamaa alikuwa na mkewe akifanya biashara za hapa na pale. Mkewe alikuwa akizipata nyepesi kuwa jamaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza na toa shukurani kwa Moderator kwakutuwezesha te kuwa hapa baada ya mainjinia wa jf kuwa katika mchakato wakuiwezesha jf iende sambamba na tekinolojia!! Mahudhui: Nimekuwa nikishawishika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wandugu! Nina rafiki yangu naweza kusema kuwa huwa anapatwa na mfadhaiko kutokana na maelezo yake. Amekuwa akipatwa na hali hii pindi aonapo upaja na miguu mizuri ya wadada hasa wanaovaa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau je hii inatufaa, katika pitapita zangu nimekuta na hizi tips on how to communicate with you kids about sex! Tujadili When your child asks where babies come from, do you break a sweat and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mimi avatar zinazoniumiza ni hizi hapa:Assumed Men (maumivu ya mbavu)1. Rutunga2. Mzizi mkavu (ile ya zamani, iliyofuatiwa na hii aliyo nayo)3. Invisible (Invicible?) na nyingine nyingi, but in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Yawezekana una hamu siku moja ya kuwa mume ama mke wa mtu,yawezekana ndoa yako inahaha kutafuta muafaka na amani..yawezekana umekwenda kwa waganga na kila sehemu kuomba ndoa yako iwe na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Macelebu wengi wa bongo hasa wanaume, pamoja na ustaa wao wa kuchukua totoz kali, wamejikuta wameoa wasichana ambao si wakali kivile.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I was listening to classic in the morning today. A debate to do with mistresses.. then i remembered my worst experience with a mistress. She was so close to me.. almost married her as my second...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida siku hizi vijana kudakwa na Mijimama hivi siri yake ni nini?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hamjambooni wote. Mimi niko sawa, hata baridi imekwisa siku hizi. Sasa nataka kuwapatia kisa kimoja. Sasa kuna huyo dame anaitwo Gathoni alikuwa ameolewa na mjaka. Gathoni samani alikuwa ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lately I have noticed a trend here. The trend is male bashing by the female members of this forum. A day doesn't go out without a thread being started that in one way or the other is about bashing...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
ni yeye aliekuwa natuambia kaka zake wanatu cheat coz sisi wake zao hatuwa handle/wajali kama inavyopaswa ndio mana wanatoka nje, yeye mume wake hawezi kutoka nje coz anampa kila kitu...
0 Reactions
304 Replies
18K Views
Wadau nini haswa kimewaingia akina Dada haswa huku mjini hataki uhusiano wamda mrefu, Pili wengi wanapenda waume za watu Tatu Wapo kimaslahi zaidi; Mimi hii kitu inanishangaza sana utasikia mimi...
0 Reactions
125 Replies
13K Views
PM
Jamani eeh mimi sijaandikiwa PM na shori yoyote kwa muda mrefu sasa. Mashori tafadhali naombeni mniandikie PM walau kunisabahi tu na mimi nijigambe nimetumiwa PM na shori. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom