Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

huwa inanipa taabu sana, eti kwa nini abiria wa pikipiki huwa wanakaa "upande" kila mara huku wakichingulia "kiaina" juu ya bega la dereva.... yaani hawakai wima na kutazama visogo vya madereva wao?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji ushauri wenu wana JF, mimi nina rafiki ambaye tulifahamiana toka niko sekondari kama family friend. Tulipoteana kwa muda wa miaka 8 hivi kisha tukaaza kuwasiliana tena mwaka huu (family...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Umezuka ubishi hapa nilipo. Wanaume walioko hapa wanasema kwamba wanawake wanaonyonyesha huwa hawana hamu ya kukutana kimwili na wanaume eti kwasababu huwa wanaponyonyesha huipata raha( hufika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mapema ya asubuhi ya ijumaa unawahi mzigoni njiani unakutana na mtoto wa kike mzuri amejaajaa anatembea kwa pozi kuelekea kituo cha daladala, unaona isiwe nongwa unaamua kumpa lifti, hajivungi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakulu, fikiria umeoa na una watoto..!! Mnakwaruzana na mkeo na katika kujibizana mkeo akakuambia" wajiona mwanaume... unadhani hata hao watoto ni wa kwako?" Ukisikia kauli hiyo utafanyaje na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sina nia mbaya na hili.. ni mtazamo wangu wangu tu!! Wengi wa wanawake waliofanikiwa/ wenye njaa ya kufanikiwa kielimu/ kiuchumi wamejikuta wanapoteza wenzi wao au wanaishia kuwa na mahusiano...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ama kweli duniani kuna maajabu ya kutisha. Yametokea huko majuu kwa ndugu wa mama mmoja kupendana sana kimapenzi kiasi cha dada kukubali kuachika na mumewe aliyezaa nae binti. mama wa watu hao...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Kuna Ukweli kuwa Ndoa yenye afya njema ina umuhimu wake katika masuala ya kipato, umri wa kuishi, malezi ya watoto na mafanikioa yao katika maisha. Soma research finding hizi hapa chini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jamani angalia mtoto kiuno, umbo na macho! ukikutana nae kwenye mambo yetu yale ya katerero itakuwaje?
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Je, wewe ungefanyaje hapa? Published on 06/03/2010 By Zawadi Lompisha Rita has left her marital home. She has been married to Dan for the last eight years and they have two lovely children...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MATATIZO katika ndoa ni jambo la kawaida na hakuna mwanandoa anayeweza kushangaa kusikia matatizo ya ndoa ya mwenzake. Wanandoa hupingana na kugombana kuhusiana na mambo mbalimbali, kuanzia katika...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
jana napiga mdogo mdogo joint ya karibu na home sasa akatokea shory mmoja nikamnunulia kilaji nikamwomba contacts si akang'aka ohhh wee umevaa ring umeoa...nikamwambia kweli nimeoa na nampenda...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hapo zamani niliwahi kutoka na msichana mmoja aitwaye Crystal. Nilikutana naye akiwa pre-med student na lengo lake lilikuwa ni kwenda medical school na baadaye kuja kuwa daktari wa watoto. Sijui...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wadau nimeonelea Jukwaa kulitembelea Chujio kulisemelea Wasione laelea Chujio litazame Lilivyo kifalme Ndo nikaona niseme Hadi niwe mkame Chujio lile la tui Kama ulikuwa hujui Chujio sio adui Ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni Binti wa miaka 26-27 siku zote ananishangaza na mienendo yake Nadhani akikaa sana B/f haizidi 2 years hapo kajitahidi sana.kishafanya engagement zaidi ya 3 zote anawaacha wachumba. Nilijaribu...
0 Reactions
123 Replies
9K Views
man:- 1. He needs some1 who notices his efforts n appreciates what he provides. 2. He needs some1 to share what he has accomplished. 3. He needs some1 to give him the opportunity to fulfill...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
mimi avatar zinazoniumiza ni hizi hapa:Assumed Men (maumivu ya mbavu)1. Rutunga2. Mzizi mkavu (ile ya zamani, iliyofuatiwa na hii aliyo nayo)3. Invisible (Invicible?) na nyingine nyingi, but in...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
kuteleza si kuanguka, jikung'uke na usimame imara. I am Pregnant with my lecturer’s baby Published on 13/06/2010 Q: My name is Pauline and I am a college student. I had an affair with one...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadu hivi yule mama Terry aliyekuwa ana kipindi Radio one cha mambo ya ukimwi na lishe bora siku hizi yuko wapi. Muda fulani aliibua tifu na wabunge au ndo wameshamchakachua?????? Where is this lady?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom