Habarini za leo!! Leo katika uchambuzi wa magazeti nimesikia kuwa huko Morogoro msaidizi wa kazi za nyumbani (famously known as housegirls) kamnyonga mtoto wa miaka wa miaka 2 na yeye kaishia...
What happens to the Lipstick used by the ladies.
5% of the Lipstick is sticked to the cutlery.
25% of the lipstick goes to Tissue Paper & Cotton Tabs at the time of removeing the Make Up...
have you come across this thinking?
Before Marriage / After Marriage
Before Marriage - - -
He: Yes. At last. It was so hard to wait.
She: Do you want me to leave?
He: NO! Don't even think about...
Jamani kumbe sometimes mafumbo ya kimapenzi kwa watoto ni muhimu ee!!,
kuna jamaa humuhu jf simtaji jina alinipa stori moja anasema kila akirusi kwake anakuta watoto wake hawajalala wanaangalia...
Ahhh imebidi niseme hii.......
Wakati inafahamika kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja
tu its unnatural.....cha kushangaza suala la mwanamke kuwa na mke zaidi ya mmoja
nalo ni linachukuliwa kama...
Kwa wale wenzangu na mie wanandoa kuna ile hali kipindi cha uchumba na kipindi cha ndoa kabla ya kupata watoto na kuwa na wafanyakazi ndani ya nyumba kuna zile za kukumbatiana au kupigana mabusu...
mke bora ni yupi kati ya hawa?
anakufuata kila mahali, anakupigia simu za kukuuliza uko wapi na una fanya nini, anakukataza baadhi ya marafiki, anakukataza bia na sigara, ana wivu sana juu yako...
Kuna kipindi cha radio kinazungumzia mada ya mahusiano baina ya wanawake na wanaume.Kitu kilichonistua ni ujumbe uliosema " akikutaa kimapenzi basi na urafiki ufe".Ina maana wanawake na wanaume...
FINE
This is the word women use to end an argument when they feel they are right and you need to shut up.
Never use "fine" to describe how a woman looks -- this will cause you to have one of...
Eti wana JF, hivi ni vizuri mpenzi wako ambaye either ni member au anapenda kuperuzi hapa JF kujua username unayotumia? Je akijua username yako kwa namna fulani hawezi kukunyima uhuru wa kutoa au...
How many of you can relate to this? He is too short but he treats you like a jewel but you prefer taller guys. Or she's a little bit curvaceous but you like the skinny chicks but yet she can make...
Wapenzi wa jf muda muafa kuhimizana kuwa na wenza wetu jamaninajua kuna wengi wanashida na kuogopa kuoa kuhisi kuongeza matatizo la hasha ndoa ni njema na baraka usiogope majaribu hata yesu...
Utamsaidiaje huyu binti?...
NIACHANE NA HUYU MZUNGU?
Naomba wadau wanisaidie kwa ushauri,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda...
Men should help our women to fight this scourge strictly on medical grounds.
BBC Homepage
Top News Story
Doctors recommend that women reduce the risk of getting breast cancer by having...
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.
"Mbona umechelewa" swali hilo.
Jibu lake linatakiwa liwe fupi na lisilo na mbwembwe. lakini hapana, mtu...
Tuma jina unaloitaji la mkeo mtarajiwa...umbo lake unaloitaji awe,,urefu/ufupielimu yake/aweje tumeanzisha maombi rasmi kanisan kwetu la victroy churchkuombea wale wanaoitaji ndoa na wale...
Hii niliisikia toka kwa mdada flan mwenye ndoa yake... Kwamaba yey akikwaruzana na mumewe na tatizo kwa wazee kwa utatuzi... Anaambiwa awe mtulivu..wamaume wengi huanza kuiona thamani halisi ya...
Jamani jamani mchina ni noma hapa TZ kashika kila kona ya bidhaa
Mwanzo alianza kwa kuuza madawa asilia sabuni na dawa za mswaki, baadae akaja kwenye gari haswa za kunyoosha magari, akaja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.