Wanaume ni wakarimu saaaana ndiyo maana hupenda kuonyesha upendo kwa wanawake ili tu auonje ukarimu na utamu wake! Si kwamba ni wahuni kwa kutoka kwenye ndoa zao ila au relationship zao ila ni...
Juzi juzi niliona katika blog moja ya TZ kinamama wakichangamkia kununua picha walizopiga katika kitchen party (picha ambazo uuzwa kwa mfumo wa kutandaza chini baada ya shughuli kwisha) na...
Men Are Impossible to Please
If hecalls you and your phone isoff, he thinks yourecheating .then he sends a sms sayingdont tell me the battery story coz I know that line
IIf uTREAThim nicely...
Habarini wakuu!
Kama mnakumbuka kuna thread moja niliweka " KILA NIKIAMKA" wengi walinipa ushauri wa kuoa haraka kutokana na sababu mbalimbali walizonipa! Nilichukua ushauri wao nami nikaa na GF...
mke wangu hapatani na wifi yake nifanyeje ili wapatane?kisa mke wangu alibananishwa na baba ikabidi aseme ukweli kuhusu alichokifanya wifi yake.
nisaidieni.
Habari wana jf,,,.
Je mwajua!! Utafiti nilio ufanya kwa WANANDOA zaidi ya hamsini sikupata hata mmoja ambaye anaishi na yule aliye mtaka/mpenda. wote walijikuta wakikosa nafasi na...
Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja...
ningependa kujua kuhusu hawa vijana wawili wa kiume ambao age zao zinarange kwenye 30-35yrs old, mmoja bado yupo home anaishi chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitemea anaishi peke yake...
Haya tena ule msimu umeanza...
Watu watakuwa bz hadi saa sita usiku wakiwafurahia akina Rooney, na Torres, na Drogba na Fabregas na Nyumba Ndogo...
Akina mama ...changanya na zako...
haya haya wapwaaz,mabinamuuz,friends and haters wote.........
hii ni maalumu kwa INFIDELATORS na INFIDELEES wote.
ni kawaida sana wakati wa ''infidelity'' kuambatana na matukio ya ajabu ajabu na...
Wakuu habarini??
Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina GF na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, Sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama...
jamani kuna connection yoyoyte kati ya Mungu na Binadamu wakati wa sex
nauliza hili kupata msaada nimeona wanawake wengi kipindi cha ujana
wakifikia mjengoni wanaanza my god my god my god...
kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato...
Nimepitia site moja ya wakenya nikakutana na hii topiki hebu check hivi vimbwanganyoso
.......It happened when i was at ushags,i met this girl at kauchochoro well i mean porini,we never arrenged...
Najiuliza sipati jibu kuna Mama mtu mzima yeye anapesa za kutosha nilikutana naye kwa maswala ya biashara natukamaliza biashara lakini kwa sasa simu zimekuwa nyingi mpaka namwambia nipo safari...
Yawezekana we ni mmoja wa wanaojiuliza maswali haya kutokana na mwamko mpya waliouanzisha wanakaya ama maboss wetu hasa wanapotoa ajira..jamaa yangu ameoa mke secretary wa kampuni moja maaruf sasa...
Nina rafiki yangu na alikuwa katika mahusiano na dada mmoja ambaye wakati huo alikuwa na boyfriend wake ila bado walikuwa hawafikia kuwa wachumba,pia rafiki yangu huyu nae ana mwanamke wake ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.