Kwanz na toa shukurani kwa Moderator kwakutuwezesha te kuwa hapa baada ya mainjinia wa jf kuwa katika mchakato wakuiwezesha jf iende sambamba na tekinolojia!!
Mahudhui:
Nimekuwa nikishawishika...
kuna my friend alikuwa na Girl friend wake.siku moja dem akamsaliti msela na jamaa mwingine ..jamaa akapeleleza akagundu na wakati huo dem alikua na mimba na akawa ameambia wote kuwa mtoto ni wao...
THE stunned black dad of a newborn, WHITE, baby girl declared yesterday - "I'm sure she's my kid ... I just don't know why she's BLONDE."
British Nmachi Ihegboro has amazed genetics experts who...
Wanajamii habari! Nina jamaa yangu mmoja, tumekuwa washikaji kwa muda mrefu sana toka enzi za Sekondari Jite. Jamaa kaoa na bado ndoa yao changa tu kwani ina miezi mitano sasa, jamaa kaniomba...
Hivi mnakumbuka zamani neno "mshikaji" lilikuwa likimaanisha mpenzi wako au hawara wako? Baadaye ndio likaja kubadilika na kumaanisha rafiki.....duuuuh....
Ilikuwa ukisikia kwa mfano, Nyani Ngabu...
Enzi za ma Ikarusi kumbakumba...
Enzi hizo za Bahari beach hotel, Kunduchi beach hotel, Rungwe oceanic, Silversands hotel, Africana....daah those were the days.
Nilikuwa napenda sana kwenda...
Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite...
Wakuu,Mng,
Naleta hili kwenye meza kuu.................Hivi hawa wenzetu hawa akina mama hujifanya wanatupenda sana hivi kati yao kuna anayethubutu kumpa mpenzi wake Password ya E-mail...
There are four kinds of sex :
1. HOUSE SEX - When you are newly married and have sex all over the house in every room.
2. BEDROOM SEX - After you have been married for a while, you only have sex...
TRUST is a very important factor for all relationships. When trust is broken, it is the end of the relationship. Lack of trust leads to suspicion, suspicion generates anger, anger causes enmity...
About 2 years ago, went for a weekend to visit my cousin who lives in a different city than I do. When I was there, she invited her friends to come say hi to me and we had a party in her house...
Emn Haddad-Friedman and Alex Bero are getting married on July 31, near the reported wedding site of Chelsea Clinton and Marc Mezvinsky.
The wedding date was booked two years...
Nakumbuka wakati wa zamani kidogo ilikuwa kazi sana kumtongoza msichana, yani ilibidi uwe umejiandaa sana kwanza kabisa kupata nafasi ya kukutana naye, pili kupata nguvu za kufunua mdomo ili...
SEHEMU YA KWANZA:
Tangu utotoni nilijuwa kuwa nimejaliwa uzuri wa maumbile na sura. Nikiwa mtoto wa kike wa pekee na wa mwisho wa Mzee Erasto Malyamkono (mtaani alijulikana kama Mzee...
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali...
Wadau, ningependa kujua sheria za barabarani Tanzania zinasemaje kuhusu kuendesha gari na mtoto akiwa ndani? Je, ni lazima uwe na car seat? Na kama ni lazima ni watoto hadi wa umri gani...
Kampuni moja ya madawa nchini China (Tianjin Xiali) iko iko njiani kuanza kuzalisha kwa wingi Octopus (Pweza) atakayeweza kuonyesha kama mwanandoa mmoja wapo ameenda kinyuma cha maadili ya ndoa...
habari wandugu;
Katika maongezi mbalimbali na wanawake tofauti, nimepata picha kuwa, kwa maoni yao, ni nafuu kwa mwanaume wake (mume, boyfriend) ku-cheat na mwanamke mwenzake kuliko ku-cheat na...
Sisi wanawake tunavutiwa na mambo madogo sana ambayo hayahitaji kuwaumiza vichwa.. si pesa wala good looking zenu :A S 39:unaweza ukawa na yote lakini amani hakuna ndani ya nyumba
Kauli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.