Wapendwa..
nimeinasa asubuhi redioni katika hekaheka za kusaka ugali wa kila siku....
Zaidi ya asilimia 50 ya vdume waliopima vinasaba(DNA) vya watoto, wameonekana si baba halisi(kibaiolojia) wa...
MFANYABIASHARA Josephat Chengula (27), ameuawa kwa kupigwa risasi bega la kushoto baada ya kumfumania mke wake akiwa na mtu mwingine na kumtoza faini ya Sh 350,000 kitendo ambacho kimetafsiriwa...
Habarini WanaJF. I met my long lost friend and we were sharing what has been happening in our lives. Huyo dada is full of life, has everything going for her, intelligent, and has never given up...
Habari wana jamii,
Naombeni msaada wenu wa kiushauri, na naomba uwe ushauri wa ukweli kutoka mioyoni mwenu, maana hii ni true story its not a joke haya ni maisha yangu, mpaka nimeamua...
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa...
Wadau jamani hapa kuna tatizoo!!
Hivi naomba kuwekwa sawa katika hili jambo kwani nafahamu mambo haya kwenye jamii yanajirudia lakini inategemea ni wakati gani na mazingira yapi!,Mpenzi wangu...
Yawezekana hizi enzi zinaelekea ukingoni likija suala la usasa na ujana. Wadada kuanzia miaka 10 hadi 30 hivi hawatamani tena mavazi hayo. Wanapenda suruali na vipensi. Hii inanifanya kufikiria...
wapendwa naomba mnisaidie kwa hili, kwanini wanaume ni waoga sana kuingia kwenye ndoa? yani hata kama mmeishi pamoja ikija kwenye suala la ndoa ni kupiga kalenda tu, ni kwanini inakua hivyo? je...
Wakuu, yaani leo nimeamka na mood sijui tuiite melancholic au nini; i feel love, i want love, yet i hate it, i dislike na kadha wa kadha
Kuingia kwenye gari ndo balaa likaanza, kuweka tu CD at...
...kwanza kabla ya yote za leo wandungu wapendwa.
Leo nimekuja na swali, hivi ni sawa kweli kwa mtu kumuacha mpenzi/mme/mkee wake kwa sababu ya kutoambiwa "I love you", I miss you, and all the...
The wife came home early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman.
And she was somewhat upset. 'You are a disrespectful pig!' she cried. 'How dare you...
Wana JF nimekutana na kisa ambacho kimeniacha na mshangao wa ajabu na kujiuliza hivi binadamu wengine kwenye vichwa vyao kunasehemu ya akili ?, Hii ni baada ya kusikia gumzo la vijana wa Uswazi...
Wadau naombeni ushauri wenu nipo njia panda,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 sasa,nipo njia panda katika kutoa maaamuzi,nina wachumba wawili lakini sijui ni yupi nimchague awe mwenza wangu...
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku...
Mzee mwenzangu na "mtani wa jadi" Bw. Rashid Othman - Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa anaoza wiki hii binti yake Sabrina kwa familia ya kina Zungu (Mbunge wa Ilala). Kwa niaba ya sisi "wengine"...
A theology professor was teaching about proverbs 15:1. He asked his students, Why do we shout in anger? Why do people shout at each other when they are upset?'
Students thought for a while, one...
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako!
Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.