Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Last year niliachana na mwanamke wangu wa zamani. Baada ya kimya kirefu nikapata kitu kipya ambacho tuna mipango ya kufunga ndoa na kujenga familia imara. Mwanamke niliyeachana naye mwaka jana...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Mpenzi wangu amechanganyikiwa, anahitaji msaada wangu wa mawazo. Nimeshindwa kumpa kwa kuwa hata mie nimechanganyikiwa. Juzi kapata barua ya kufukuzwa kazi. Kaenda nssf kufuatilia mafao yake...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nyie akina Dada nomba mnijibu swali langu kama siwewe mwenzako nanitabia mnayoooo!!!agh!! Nimekupenda nimekutongoza tumekubaliana wakati tunazugana...Unanipipigia unataka tutoke OUT Dinner sawa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Inakuwaje mkikutana na mke wako guest una Mama yake!!Yeye ana Baba yako!! Au ndo kama hii........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nimeona taarifa kwenye gazeti la Nipashe kuwa nusu ya watu waliokwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima vinasaba (DNA) ili kujua uhalisia wa watoto wao wamekuta si wao. Sasa nikajiuliza...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Sometimes I'm an angel, sometimes I'm cruel, But when it comes to love I'm just another fool. I thought you'd be the first guy To prove to me that not all guys are the same But really what...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Nikiwa nimekaa nyumbani kwangu jana usiku nikifuatilia tamthlia ya Ruby mara nikapata mgeni.Mgeni huyu ni jirani yangu.Akaniomba nitoke nje ili tukaongelee huko.Akanileleza habari yake kwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Subject: Cheating Sipho: Dad I want to marry Zandile Dad : No ways my son, Zandile is your sister, her father was working in JNB so I had a relationship with her Mum and She gave birth to...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Penzi unalonipa Hilo kwangu tamu sana Penzi lisilokopa Hilo ni penzi mwanana! Penzi waaa!! Penzi lanisisimua Lapita hiyo asali Penzi nimeligundua Yamenitoka maswali Penzi waaa!! Penzi jingine...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Duh sijui yule dada wa blogi ya kata kona atajisikia na haya mambo ya 'body mutilation' aka scam boobs? Poorly ... boob op left Sheyla Hershey seriously ill Channel 4 Biggest boobs could...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Yawezekana mmoja wa wanaoitaji ndoa mpendwa mkabidhi bwana atakupa anaekufaa..watu wengi wameolewa kwa kulazimisha ama biila kusudi la mungu kuwepo..na hii imefanya ndoa nyingi kubaki comedy na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam, Nimekuja kwenye nezakuu nina hili linahitaji hekima na busara zenu Kichwa cha habari kina sema Uhuru wa kuwa Huru!.Kama mwanadamu nayehitaji kuwa huru na mazingira yanayo nizunguka na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake, Charles Mkwasa, jana alitangaza kikosi chake cha wachezaji 25 kitakachoshiriki fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake zitakazofanyika nchini Afrika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ulijisikije siku ya kwanza ulipojijua una mimba?
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Naombeni ushauri wenu kuhusu hili Wana JF. Nina mke ambaye kwa kweli nampenda sana na nilimkuta akiwa bado Kigori, mara ya kwanza alikuwa anachukua muda mfupi sana kufikia kilele lakini hivi...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Do Children Make Parents Unhappy? Sunday, July 11, 2010 | 1:00 PM by Yolanda Sangweni There are fewer windows for getaways or late nights with the girls (or the fellas), and your social...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuta ugomvi mkubwa kati ya mtu na wifi yake. Ni kwamba kabla hajaoa, huyo kaka mtu alizaa na mwanamke flani hivi, kisha hazikuiva kwa hiyo hakumuoa. Sasa ana mke wa ndoa na wana watoto. Mkewe...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
MKAZI wa Uru Kusini mkoani Kilimanaro, aliyetambulika kwa jina la JAMES Kiwale (28), ameuawa kikatili baada ya kupigwa na shoka ya kichwa kwa kilichodaiwa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
`Nusu ya waliopima DNA watoto si wao` Na Mwandishi wetu 9th July 2010 Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, imesema nusu ya watu waliokwenda kupima vinasaba (DNA)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom