Tumeona na tumesikia wake zetu ama wa jirani zetu au wanawake wenzetu ama wakilalamika au kuvunja ndoa zao kutokana na wanaume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi.
Ukifanya...
Jamani najua kila mtu hapa ana uhusiano na mwenza wake na wengine ndoa kabisa. Hebu tukumbushane siku ya kwanza kabisa unafanya ngono na mwenza wako wa kwanza kabisa hali ilikuwaje kuhusu...
Si vema kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa.....kuna wale ambao hufanya hivyo na wanalazimika kuvaa condom,kuna tetesi kuwa kuna baadhi ya wanaume wenzangu ambao hutoboa condom pale chini halafu...
...hata biblia imesema;
"better to live on a corner of the roof than
to share a house with a quarrelsome wife."
Proverbs 25;24
...no wonder wenye mioyo midogo wanawafanya 'jabulani!'
akofu wam jimbo la muleba kaskazini amewaasa wanandoa kuacha kucheza na mungu huku akiongea kwa masikitiko amesema ndoa nyingi hivi sasa zinakuwa kama mchezo wa kuigiza..bnaya zaidi jamani...
This is what is happening to my life now - nimechoka kabisa kuamka asubuhi
sana only to find out that my salary ends kwenye michango ya watu!
MICHANGO! Ah Mungu wangu weee... Nchi gani hii kila...
some friends are really getting pains in their love life.........!
some friends are really going through a hell in their love life...!
some friends are in trouble......!
Wana-JF najua wikiendi ndio inakaribia ni imani yangu hili nalo lina nafasi yake katika mchakato mzima wa kuitafuna hiyo wikiendi. Ni wazi kila mtu ana utashi na kwa wakati wake anajisikia kupata...
Wapendwa natumaini wote mu wazima na mnaisubiria weekend kwa hamu.
Ninaomba mnisaidie katika hili.
mara nyingi huwa tunapokumbwa na mikasa ya mapenzi hasa tukitendwa na wenzi wetu huwa tunapata...
The sun is set
A day now gone
Darkness falls, wind blown
The worries of yesterday
Now forgotten, just for a moment
Here with me
Not anywhere else
Simply now, and today
Just...
Nasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni...
Habari wanaboard
Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una...
Mwanaume ni kama taa muda wowote kukiwa na giza unaiwasha na inawaka hapo hapo na ikimaliza kazi yake inazimika mara moja
Mwanamke ni kama pasi ukitaka kunyoosha nguo unaiwasha inachukua muda...
Jamaa yangu ndio kwanza ameoa, yeye na mkewe wote wanafanya kazi benki, sio ofisi moja.
Katika pitapita zake kwenye internet, kakutana na blog ya facebook, kasachiiiiiiiii, hadi kikaeleweka...
Wanakwaya wenzangu
embu naombeni tuache kumcheze mungu..hapa jiran kuna kanisa ambalo limekuwa na malumbano ya wanakwaya kuchapana mara kwa mara na hili likifika kwa mchungaji anawaita...
Hapo nilipo nalia sina pa kukimbilia
Mke kanikimbia na watoto kachukua
Sina pa kusemea dunia imeniinamia
Ndugu tusiwatenge wagonjwa wa UKIMWI
Nilipokuwa mzima, watu hawakunisema
si Rehema si...