It is so decided, that from now on and in perpetuity, singularly and categorically, the following rights are to be accepted fully by all persons in a loving, romantic, and exclusive relationship...
Habari zenu wanajf? hope mu wazima.
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.
Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi...
Naomba kuuliza kwa w/ume hasa waliooa
Sisi uwa hatuna vitu kama kitchen Party za kufundishwa, Je tuishije na hawa wenzetu?
1. Kwa kumpa uhuru m/mke wa kupanga mambo yote ya kifamilia?
2...
Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata...
TAKWIMU HIZI ZIMENIFANYA NITAFAKARI.NDOA HUWEZA KULETA HATARI ZAIDI KULIKO KINGA DHIDI YA UKIMWI:
"According to the data from Tanzania HIV AIDS and Malaria Indicator Survey (THMIS) 2007-2008, the...
Wapendwa nina rafiki ambae pia ni jirani yangu. Urafiki ulianzia kwa mtoto wao wa miaka 4, tukafahamiana na mama wa mtoto na tukawa marafiki na hatimae nikatambulishwa kwa baba wa mtoto ambae pia...
Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na...
Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au...
MABIBI NA MABWANA!
WAPWAAZ NA MA-BINAMUUUZ............
kwa heshima na taadhima ninaomba KWA PAMOJA TUITAMBUE SEND-OFF PARTY ya mkuu MSINDIMA huko ARUSHA!...INAYOFANYIKA LEO HII...!hapa...
natamani kama world-cup ingechezeshwa hata mwaka mzima.....
haka ndo ka-mwezi pekee kakuchelewa kurusi nyumbani kwa kizingizio cha NILIKUWA KWENYE BIG SCREEN
HEEEEY MY BRAAAAAA...
JARIDA maarufu Ujerumani linahabarisha kwamba ni vigumu kwa Afrika Kuendelea kwa kuwa viongozi na watu wake wanafikiria habari za maendeleo kwa kiasi cha 10% tu tofauti na wenzetu huko Ulaya...
Umejitihadi ukamtimizia haja yake ya kumpeleka out kwenye concert ya maisha yake kumwona mwanamuziki aliyetamani maisha yake yote kumwona/kuwaona. Mara anatambulishwa mwanamuziki jukwaani...
This summer why not spend some time with your family passing down stories about your history, heritage, and tracing your roots. Start by telling your children about their family history. It is a...
Heri kwenu wadau, nina imani mambo yanaenda vizuri.
Nakuleteeni habari njema kuwa my wife mpenzi amejifungua mtoto wa kiume, lakini amejifungua kwa operation! Nimeona ni jambo laheri kuwajulisheni...
Imetokea mara nyingine kuwepo kwa Wanandoa ambao hawajaliwi kupata (wa/m)toto kwa sababu mbalimbali zaidi sana kwa Ugumba au Utasa.
Kutokana na mambo mengi katika jamii inayotuzunguka, Wanandoa...
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za...
Utakuta watu wapo kwenye mahusiano ya mapenzi kwa mda mrefu tu, then for no reason mmoja wapo anakuja na hoja kwamba tuwe marafiki wa kawaida tu haya mapenzi tuyaweke kando, hivi hii inamaanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.