Mh rais
kwa kweli mi nikiwa kama mjasiriamali kwenye swala la ndoa naomba niombe kuuliza swali hili..mh rais umekuwa ukizunguka sana nje na ndani ya nchi bila hata kupumzika,pamoja na kwamba kila...
Wadau last week nlienda chuo kimoja hapa City Centre katika pita yangu nkaokota passport size ya kiumbe kimojaaaaaaaaa saaaaaaaaafi kabisa kinavutia machoni.
Hii picha nimekua nayo almost 3weeks...
Mmh sijui ni mapepo sijui laana sijui nasema sijui
jamani hizi ndoa mbona sasa zinachekesha naona watu wanaoana na kuachana kama karanga hivi nani kakutuma uende kuoa??umelazimishwa kuolewa kwa...
Mungu Ibariki JF!
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru JF members milonipa ukaribisho wa kipekee na kunionyesha upendo wa kweli katika muda wote niliokuwapo nayi hapo Dar! Wengine wenu mlienda...
Wapwaazi na Mabinamuuuz!
Nalileta kwenu hili swali leo naona jamii forum iko kimya sana!
Kama ijulikanavyo vikombe vikikaa kabatili lazima vinagusana na mara nyingine unakuta vimefunjika. Sasa...
Wanawake siku hizi wamepooza, wabaridi na wasio na ladha tena katika suala zima la mapenzi hii inatokana na jinsi wanavyovaa na ambavyo walitakiwa wavae.
Wanawake siku hizi wanaacha maziwa nje...
Mkurugenzi wa kampuni moja kubwa ya mawasiliano alikaribishwa kutoa
speech katika tamasha moja la vijana lililokuwa limeandaliwa kuhusu
kujiepusha na vitendo vyenye kuweza kusababisha maradhi ya...
Enyi wana wa adamu
wapi vitabu vya dini vimeandika mke ni hekalu la kufanyia gym
wyawezekana kutokana na laana ama ukoo wenu kuwapiga wake zao
nasema laana inaruhusiwa kuvunjwa mkome nasmea mkome...
Hamada umelewa!!!@@@umelewa eeeeh
unaweza kuhisi amelewa kumbe yatoka moyni jana nilikuwa kwenye kashere fulani
fulani nikawa namsikiliza dada mmoja akilalamika mamamkwe anavyomtesa anakuwa kama...
Ni mume kwa miaka zaidi ya 25.
Anasema ameamua kuwa na mtoto nje ya ndoa.
Ndoa ina mtoto mmoja, zaidi ya miaka 23.
Ni ndoa halali ya ki-kristo.
Mtoto alezaliwa hana mwaka. Mume kasema 'aliamua' ...
Hapo mwanzoni mwa video JS ndio huyo wa kushoto aliyevaa spandex nyeupe..wa katikati ni Bht aliyevaa hicho ki daisy duke cheupe na wa kulia aliyevaa hicho ki top cha majivu ni...
Habari wanaJF. Hivi bandugu hamuoni kuwa kumbebesha mzigo wote wa makosa mwanaume ikitokea mwanafunzi amepewa mimba ni sawa na kusema kwamba wanawake ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi...
Jamani kumezuka mambo ya kuongeza maungo ya binadamu kwa kutumia dawa
mbali mbali wapo wachaga wamekuja na dawa zao wako wachi na wala awajifichi
wahaya nao wameingia kwenye system..sasa kama we...
June 9, 2010
TRENDING: Gore daughter separates from husband
Posted: June 9th, 2010 09:34 AM ET
Karenna Gore Schiff, the oldest daughter of former Vice President Al Gore and Tipper Gore...
Kumekuwa na ongezeko la Watanzania (watoto hadi watu wazima) wanaotazama pornographs pengine kutokana kwa ukuaji wa teknolojia na matumizi yake. Lakini, pengine kutokana na kuwa hii sio utamaduni...
IS THIS TRUE GIRLS/WOMEN
Oprah wrote this about men
If a man wants you, nothing can keep him away.
If he doesn't want you, nothing can make him stay.
Stop making excuses for a man and his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.