Je, imeshawahi kukutokea ukakutana na mtu (wa jinsia tofauti) mka click sana kiasi cha kuanza kujiuliza kwa nini hukukutana naye mwanzo kabla ya kuwa/ kukutana na mtu uliye naye sasa? Kama imewahi...
Hili swali ni gumu sana kwa watu wengi ikiwezekana na mimi...yaani yale mambo mengi yaliokuwa yakifanywa na wapendanao sasa watamaniao nao wameamua kuyafanya just kufaulu wanachotaka na kuanza...
Hello wanaJF.
Nina rafiki wa muda mrefu ambaye amenisaidia sana nilipokuwa kwenye kipindi kigumu maishani - and knows almost everything about me. And we have only and only been friends...
WORDS WOMEN USE
FINE
This is the word women use to end an argument when they are right and you need to shut up.
FIVE MINUTES
If she is getting dressed, this is half an hour. Five minutes is...
Nasikiliza LEO TENA ya Clouds FM; naona imegeuka kuwa cheaters; Si mchezo!
Ni reflection ya tunayojadili hapa kila siku! Inasikitisha sana!
Mwanamke ana mumewe lakini pia ana mpenzi nje ambaye...
Haya kazi kwako danganyanyeni muone kazi ...wabaya haoa hao binadamu wenzako
sasa kazi kwenu kama mlitamaniana basi mtajua cha mtua huliwa na nani....
kwenu wana jf wanandoa watarajiwa tamuuu...
Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni...
Habari zenu wana jamii forum
Napenda kuwajulisha kuwa nategemea kufunga harusi mwezi ujao,hivyo mimi nikiwa member wa forum nimeona sio vizuri kuwa kimya bila kuwajulisha wana-jamii.
Naomba pia...
Mtu unaenda grocery store lakini unavaa kaa unaenda klabu. Umevaa kimini na unaonesha mpasuo/ mgawanyo (cleavage) wa matiti. Matokeo yake mmenifanya nigeuke huku natembea hadi nikajigonga kwenye...
Enzi zile ambazo hata mawasiliano ya simu au barua hayakuwa rahisi, ilikuwa haipiti mwezi bila kupokea mgeni kutoka kijijini kwetu na mara nyingi ni ndugu wa mbali na karibu ambao wengi wakija...
Maneno kama mpenzi, asali wa moyo, sweetheart ni maneno yatumiwapo mara kwa mara baina ya watu.Siyo ajabu hata kidogo kusikia marafiki wakiitana "mpenzi".... hasa marafiki wa kike ni kawaida...
Wana Jf naomba kuuliza hivi kuna uhusiano gani wa kunywa pombe tena zile kali kama konyagi,boss,valuu na nyingine jamii ya spirit,nimeona vijana wengi wakidai kuwa baada ya kunywa ukiwa kwenye...
Last week Companero alilalama kujisikia mnyonge katika kila nyanja. Naomba kui-dedicate poem hii ya Invictus kwake, na kwa yeyote yule anayejisikia mnyonge(pamoja nami) weekend hii .
Background...
Week end imeanza...!
Kwa wale walio olewa au kuoa wana jeshi mna shauriwa sana, mnapokuwa mmelala majumbani mwenu msikubali kabisa wenza wenu wakalala usingizi fofofo na kuanza kuota, Kwani...
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia...