Upendo wa kweli!
Upendo wakati mwingine hufananishwa na kupanda na kushuka kwa nyuzi joto.
Ni ukweli usiopingika kwamba upendo ambao hutokea wakati wa uchumba ni tofauti na ule wa kwenye...
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na...
Mimi ni mwajiriwa wa benki moja hapa jijini,
na mwenzangu pia ni benka.
Tulikutana kanisani kwenye ibada za asubuhi,
niko busy nikisakasaka mrembo wa kumuoa.
Mungu nilimuomba anipe bibie atakaye...
Tatizo sugu katika hii mitoko ni baadhi ya wanawake kwenda na kampani yao/zao. Utakuta mtu kapewa mwaliko, anaamua kubebana na mashoga zake watatu au wanne, eti wanamsindikiza! Hata kama ni...
Gari gani limekuwa kama mganga wa kienyeji!? Kila siku.. lete kuku, lete mayai, lete mbuzi pacha, mara lete vifaranga vya kijani.. kwenda halendi limebakia kuunguruma tu!! Mwisho watu wanaanza...
Juzi nilipokuwa na mke wangu baada ya chakula cha usiku, aliniambia
nimwandikie nyumba yangu kwa jina lake, na hii nyumba ninayo kabla hatujafunga
ndoa, nikamuuliza kwani kuna tatizo gani...
My wife & I have been married for a couple of years. My wife has some complaints and says she has fallen out of love with me, so she wants to end our marriage. She said that God told her to end...
Baada ya Kujifungua....
MAMBO YA KUZINGATIA MWANAMKE BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la...
Unatafuta ndoa safi asilimia 100? HaipoDISMAS, LYASSA
HIVI karibuni nilitembelea mikoa ya Arusha, baadaye Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine nilikutana na baadhi ya watu na kuzungumza kuhusu...
By Vitalis Kimutai
An increasing number of older women are seeking higher education, but it comes with a price: Their maids are taking over their homes and their husbands.
The number of married...
KATIKA hali isiyo ya kawaida mtandao huu ulishuhudia mwanamke mmoja akilia kwa machungu baada ya kushuhudia mwanandoa wake akibebwa na moja ya mashangingi ya mtaa huo.
Dada huyo alikadiria kuwa...
i miss everybody here,
i really miss wapwaaz(ORIGINAL NA CHIPOLOPOLO)
i really miss my strong pillers
i really wish to turn back the hands of time AND GO BACK TO THE ORIGINAL JF
i really wish to...
Monday, May 03, 2010 10:09 AM
KATIKA hali isiyo ya kawaida mtandao huu ulishuhudia mwanamke mmoja akilia kwa machungu baada ya kushuhudia mwanandoa wake akibebwa na...
Sambusa ni tamu bwana,
Nyingine hakuna tena,
Wa kijiji ninanena,
Vingine sijaviona! - sambusa ni tamu bwana, hasa zisizofanana!
Ukishaonja sambusa,
Vitumbua utasusa
Na utatumia mapesa,
Uje upate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.