Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

ghafla tu mwenzako unaeishi nae ndani anaweka pin code kwenye simu ni inakua nini maamuzi,uoga au ni kutaka privacy maana nashindwa kuelewa na hiyo pincode hampi mwenzie hivi inawezekana kweli kwa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wadau ngoja niseme tu leo...maana wahenga walisema mficha maradhi.....yatamuumbua....Kuna ka-experience flani kanamtatiza mdau kunako malavi-davi (ashkum si matusi) ni kwamba katika maandalizi ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
TRANSSEXUALISM Leo tuangalie maradhi mengine yaitwayo Transsexualism. Mwenye maradhi haya anaitwa Transsexual (inasomwa Trans - sekshual). Mgonjwa huyu huwa na tamaa ya kuwa na jinsia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unazielewa sehemu marufu zinazofanyiwa Dogging hapa Dar ?kama unazielewa tueleweshe .
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1.MSIMAMIZI WA NDOA LAZIMA AWE KIJANA ASIEOA/KUOLEWA ILI HARUSI IPENDEZE 2.WASIMAMIZI LAZIMA WAWE WABAYA SANA WASURA KULIKO MAARUSI ILI MAARUSI WAPENDEZE 3.LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WanaJF napenda kuwataarifu kuwa ile tarehe ya mwanzo ya harusi yangu imesogezwa hadi tar 17/07 kutokana na kuingiliana na kikao kikubwa cha wachungaji pale Tanga.Maandalizi mengine yanaendela kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jana ktk EATV "Strictly Kenyan" kulikuwa na mada kuhusu wanawake wa Kenya kuanza kwa kasi ya ajabu kutongoza wanaume. Wahojiwa walikuwa wanaume na wanawake; na wote waliliona kuwa ni jambo la...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
http://www.youtube.com/watch?v=l6BWQvinxT4:A S clock:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
This post is about helping you let go of complaints about your spouse. So let it all out! But remember to keep these ideas private from your mate, because ultimately, the biggest thing you can do...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi Wana JF, Nna mpenzi wangu ambaye tupo wote kwa miezi 7. Tunapendana sana. Tatizo ni moja,hatuishi kugomanbana na kupigwa jamani. Yaani tukigombana kidogo tu, mwanzangu anatumia ubabe kunipiga...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu, Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja...
0 Reactions
115 Replies
17K Views
MI HUWA NAJIULIZA SANA, IWEJE NYUMBA NDOGO IMKAMATE MUMEO WAKATI NAYE NI MWANAMKE MWENZIO? JE NI KIPI ALICHOKUZIDI? MBONA HUKO KWA NYUMBA NDOGO MUMEO AMETULIA NA HANA MAHANGAUIKO? JIULIZE, HUENDA...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Guys, yaani kuanzia jana hadi leo hapa dar naona hali si mchezo... hii mvua inafanya navusha sana mida hii!!! nikiangalia nje ndio usiseme, nikicheki manyunyu na madimbwi ndiyo haswaaaaa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kubemenda! (Miezi saba sasa kubemendwa kupo wapi?) SWALI: Shalom mtumishi wa MUNGU! Ni matumaini yangu kuwa wewe na familia mnaendelea vizuri. Sisi pia BWANA anaendelea kututunza na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1)pray your heart out. Ask God to reveal to you your shortcomings as her husband. This is hard to do because it hurts our pride. 2)APOLOGIZE for those things, no matter how insignificant they...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Information about the most common forms of natural and behavioral contraceptives.As well as descriptions of each contraceptive method. 1.Abstinence: Abstinence is defined as not having any...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
my dear friends, thanks alot for your prayers and wishes for my big day....ehehehhe been married for 18 days now!!! Geoff, thanks a lot for starting a special thread for me...and for all of you...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
We all know that we are not suppose to judge others. Jesus couldn’t have been more clear on this matter. Yet, we constantly judge our spouse every week! How? We have negative beliefs about our...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Patience. The word of the day is patience. I’ve been working with couples for almost 16 years now, and what I’ve realized over all this time is that too many couples quit before they can...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom