Wazo zuri
nimeona ndoa nyingi kuna hali ya kuogopana kuogeshana na leo
hii nimeona niwwaletee hii mada ya matatizo yake
kuna watuwengi wanakuwa wakijikuna kwenye ukuta ama wa nyumbani ama...
Mimi nafikiri wakati mwingine ni bora
kila mtu kabla hujaanza kuingia kwenye mapenzi
na mtu ni bora kujua kwamba,
masuala ya kugombana na kupata maudhi kwenye mapenzi
ni mambo ya...
Kuna kitu kinanichanganya sana, hakinihusu mimi lakini kinawahusu watu muhimu sana kwangu, nina marafiki wawili, na ni wamama wenye familia zao na nimajirani zangu, ss mmoja kati yako anatembea...
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu...
Mke na mume waliobarikiwa kuwa na mtoto mmoja mdogo walipendana sana na daima walitaka kudhihirisha upendo wao kwa watu ikiwa ni pamoja na kushikana mikono, kuitana majina matamu kama "honey...
Ndugu zanguni kila nkifikiria maswahili haya nahisi kienglisenglish rupu
embu mwenye kutusaidia maana siku hizi hzi talaka zinagawiwa mahakamani
kama juice za sayona akuna tena ati miaka miwili na...
Mkufunzi mmoja ambaye ni nguli wa kuwafunda akina dada wakati wa Kitchen Party amewataka akina dada ambao wanakwenda kuolewa kufahamu vizuri jinsi ya kuutumia mwiko wa kupikia kwenye chungu ili...
Kwa mara nyingine tena
Napenda kuwatakia heri wana ndoa wote wanaoatarajia
kuona siku ya kesho kwa niaba ya familia yangu nawatakia
maisha mema ndoa yenye furaha kama yangu baraka za wattoto...
:drum:WanaJF hebu tuliangalie hili, kuna baadhi ya wanaume wakiona mwanamke mwenye makalio makubwa mate yanamtoka hata kama ni mke wa mtu anatamani aduu nae, wakati huo huo wapo wanopenda wenye...
Kuna watu huandamana na wake zao au wapenzi wao popote waendapo,hao huitwa kumbikumbi,na wapo wanaosema,kuandamana na mpenzi wako kila uendako si tabia nzuri,
ina hasara nyingi sana kuliko faida...
Hey,
First, Im just saying helo and WISH YOU A HAPPY WEEKEND,
Remember we have a long weekend up to tuesday,
Play safe!
Second, i would like to congratulate most of the JF members, mention few...
Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa...
MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA
Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika...
BEDROOM DEMOCRACY
Young wife, who was becoming
frustrated with her young husbands constant demands for sex,
decides to make a schedule for him, to cut down on the
amount of times that they...
Haya...kwa nyie ambao bado mnadhani kuna mapenzi au kwamba mtu hawezi ku cheat...hebu someni hiki kisa cha Larry King na mkewe....ambao wote walitoka nje ya ndoa yao.....
Halafu huyu mke wa...
Wakuu... JF ni mahali pazuri kwa tunaoitakia nchi yetu mema! mbali na siasa, intelligensia na mambo mengine mazito na ya maana... nadhani jamii, mahusiano na mapenzi ni ada yetu ya kila siku and...
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka...
Hivi wana jf, kuna uhusiano wowote kati ya mapenzi na elimu?
Ni muhimu kwa wapenzi kuwa na elimu sawa?
Inakuwa vipi kwa mwanaume anapomzidi mwanamke kielimu?
Inakuwa vipi kwa mwanamke anapomzidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.