Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

kuna rafiki yangu anamatatizo katika ndoa yake, ameolewa ana miaka mitatu sasa, anadai mumewe amebadilika sana baada ya kupata kazi yenye kipato kikubwa, kununua gari na kujenga nyumba ambayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wengine saa hizi wanapata kabia kabariiiiidi na mishikaki/nyama choma, wengine soda ya baridi na chipsi kuku/mayai,wengine wali maharage/nyama na wengine loo mihogo na maji ya bariiidi, wengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe. jamani tego zingine mbaya...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Watanzania tunaitaji mamlaka sasa kukemea na kuamuru nyumba ndogo zote ama wale waanaotembea na wanaume wa watu ama wake za watu damu ya YESU kristo ikawachome na kuwateteketeza..Roho wa MUNGU...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wenzangu dadangu mdogo anataka ku elope na boyfriend because she is fed up with my parents.She has been complaining that even though she is in college my parents are controlling her too much yet...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wahshimiwa za jion naona jua lazidi kukimbia,nimekutana na mtu pale faya dk 20 zilizopita akaniambia eye ameamua kukaa na mwanamke mwenzake wako nae ndani,kimeniuma sana dada mmoja aliekuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jessica Parfrey Sunday, March 07, 2010 4:00 AM Afisa mmoja wa polisi mwanamke wa nchini Australia amesimamishwa...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Juzi nilikuta ugumvi wa majirani wangu, kaka mkubwa na mdogo wake, kaka ni mkubwa kwa miaka 15 hivi. Kaka mtu anasema mdogo wake hamjali kabisa ingawa yeye ndiye aliemsomesha hadi darasa la saba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
She never asks you to go into detail. Ok, let me be more specific – she never asks you to go into the details as they pertain to you, personally. In other words, she doesn’t want to know anything...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ok members I just want to hear from you whats your opinion concerning Adultery? I believe most religions forbids adultery but still ppl never give a second thought b4 committing this sin. what are...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Note: This article assumes you already know her – this is not advice for men just trying to figure out if the Hooters waitress thinks you’re cute, ok? This is for men who’ve already met the woman...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Maisha ya ndoa pengine ni "komedi" (usanii).. Kwa mfano zipo kauli huwa zinatolewa siku ya harusi zinaitwa "Nasaa za wazazi (wengine wanaita wosia kama kauli ya mtu anayekufa)" ambapo wazazi huwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Mnajifunza nini hapa............. Friendship among Women: A woman didn't come home one night. The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house. The man...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa wale tunaofuata imani ya kristo , tunasoma na kuamini kuwa: “Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kasha hukatwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Boy! am glad to be back! Natumai wote ni wazima wa afya njema! Namshukuru mungu tumekutana tena! Nawapenda
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inseparable couple dies on the same day I don't know quite how it happens...sometimes appears as very uncommon cases, but it is said sometimes the bond between a husband and wife can be so...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukizima Moja, Zote zinazima! Mwanaume na mwanamke wapo tofauti zaidi kuliko kufanana na hivyo ndivyo walivyo, kukataa haiwezi kubadilisha ukweli. Mwanamke na mwanaume husikia na kuona vitu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hebu niulize swali la kizushi,wakuu ni kosa gani ambalo umeshawahi kulifanya ukiwa na umri wa miaka 25-30 wakati ulipokua chuoni,kazini ambalo limekugharimu huko baadae na au ambalo ungetamani...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuambatana! Wanahitaji kuongea uso kwa uso! Tumeona kwamba mwanamke anatakiwa (lazima) amheshimu mume ili mume naye ampende na matokeo yake kila mmoja aridhike na mwenzake na hatimaye kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Think Twice! If he hasn’t become a Christian to get you to marry him, why would he become a Christian when he knows he has you as a wife? By Lazarus Mbilinyi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom