Kama Computer Vile!
Ndoa ni mfano wa computer.
Kwani computer hukupa kile kimewekwa tu, huwezi kutumia program ya MS Word kama haijawekwa, huwezi kupata internet kama haijawa connect na...
mimi natoka huko kwa The Don Ngosha,nakumbuka sana wakati tuko wadogo tulikuwa tunaenda ziwani kuogelea lake Victoria huko mazoo..mabinti with mama zao au waliowatangulia huwa walikuwa wakienda...
Hebu oneni hii jamani, its funny lakini yawezekana ina ukweli.
WHITE WOMEN
First date: You get to kiss her goodnight.
Second date: You get to grope all over and make out.
Third date: You get...
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.
Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi...
Nawasalimu wana jamii, pia nawapa pole na mihangaiko ya hapa na pale
Pamoja na salaam pia naombeni ushauri. Naomba kwa yeyote aliyetayali kunishauri anishauri kwa dhati ya moyo wake, si kukejiei...
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua...
Nina muda usiozidi miezi miwili hapa JF nimeanza kunongewa na kwa vile sipendi vya bure nipo mbioni kwenda kulipa premium. LAKINI? kuna watu hapa JF hasa wewe na wewe eeeh na fulani nilitaka...
Wapendwa wana jf, napenda kuwataarifu mapema kuwa mnamo tarehe 10/07/2010 natajia kufunga ndoa huko tanga katika kanisa la kilutheri la kana, na kisha tafrija itafanyika pale railway club kuanzia...
Kuna watu wengi nakutana nao na kitu kimoja nakigundua ni kuwa
watu wengi bado wanaamini kuwa na watoto wengi ni baraka au
utajiri wa aina fulani.....
matokeo yake watu wengi wanazaa watoto wengi...
huyu dada anatafuta mchumba mwenye miaka kati ya 30-40
-mimi ni msichana [PICHANI JUU NAONEKANA]
-nINA miaka 28.
-mkristo.
-mjasiriamali.
-naishi Dar es salaam.
sina mtoto wala sijawahi...
Once upon a time there was a teacher and his student lay down under the big tree near the big grass area. Then suddenly the student asked the teacher,
Student : Teacher, I'm confused how we find...
someone more than urself...or in other words dont love anyone to the point of loosing urself...because if u do u allow them to control u or take advantage of u. In any relationship we have to...
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
wiki hii nataka kuzungumzia namna ambavyo usipoangalia unaweza ukamshawishi mpenzi wako akusaliti bila wewe kujua. Nataka kuligusia hili kwasababu, nimegundua kuna watu wanaowapenda sana wapenzi...
KWA MUJIBU WA KUMBUKUMBU ZANGU,you must have quit the club JUMPING TO ANOTHER NEW CLUB
KWA HESHIMA NA TAADHIMA,KWA NIABA YA WANACHAMA WENZANGU WENGI ninakukaribisha sana kwenye ''NEW CLUB''.a no...
wanywaji(sipendi kuwaita walevi) pombe wengi mara nyingi husema kuwa watu wasiokunywa pombe, si bure ni lazima wana ulevi wao.Wengine husema asiekunywa pombe atakuwa malaya au mpenda muziki sigara...
Kuna wale wenye tabia ya kumpeleka mpenzi wake nyumbani kwake na kucheza nae mechi kwenye uwanja wa taifa(bedroom) huku wakiwa ni wake au waume za watu:SOMENI HII:
Jana maeneo ya kinondoni...
najisikia kumchoka mwenzangu bila sbbu yuko sawa kila k2 ila sina ham naye tena kama zamani tulipokuwa wachumba najitahidi nashindwa sina nyumba ndogo ila natamani wakti mwingine ila cjawahi fanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.