Dada zangu hivi kwa nini wengi wenu sio wote lakini before marriage mnakuwa wapole na kuonesha nia ya mme mtarajiwa kuvutiwa na kuolewa nanyi lakini mkiwa ndani ya nyumba basi yanaanza makucha...
Jamani avumaye baharini kumbe papa wengine wamo,mchumia juani hulia kivurini,mganga na njaa hafi masikini...ni tatu lkn zina maana kiao jamani...nipeni hoja zenu nyie kinadada maana wengine...
Wapenzi habari za masiku kadhaa.Nimatumani yangu kuwa wote tu wazima na tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kila siku...Nilukuwa mbali kidogo nba jukwaa hili kwa sababu mbalimbali zilizokuwa...
Christmas is glorious
Of its Holy gift we sing
Of a manger and baby
Our blessed newborn king
Thanksgiving is so grand
Our thanks to God we give
For His unending bounty
Gracing each day we live...
Jamani shanga ziendelee kuheshimiwa kama zilivyoanza.hivi sasa kumekuwa hakuna kabisa ladha wala umuhimu wa shanga kiunoni!!tusifanye kama maonyesho ya sabasaaba juzi nilkuwa mr price wana ounguzo...
Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa...
Mara nyingi wapenzi tunaaminiana sana kuwa kila kitu kinachotuhusu tunawekeana wazi. Lakini, je wewe mwana JF kwa upande wako, unadhani mwenzio amekuwa muwazi kwako kwa kiasi gani? Je, wewe...
Amepatwa na ugonjwa unaoitwa PANGUSA;-nia aina ya ugonjwa unaopata wanaume sehemu za siri za mbele unakuwa kama umepata mmba kali ukifuta inazidi kulika kama kifuto cha pencil mwishowe inakuwa...
The party is due to be held at Arusha.
It intends to introduce all my former girlfriends to friends and co workers and perhaps to my wife.
Invitation has been sent to all those I remembered to...
Jamani hamjambo wapendwa,
Najambo ningependa kupata michango yenu. Hivi mathalani mke/mume wamekasirishana ndani ya nyumba ikafikia kuambiana kwamba from now kila mtu ashike time zake wakati...
By Wendy Atterberry
(The Frisky) -- Dear Wendy: I've been dating a guy for eight months and in April we decided not to see any other people. I should say that we're in a long distance...
Namtafuta mchumba (mwanamke) Awe msomi cha msingi zaidi Blood Group Yake iwe aina yeyote lakini Rhesus Negative (rh-ve). Age 22-28years old. Please serious lady with these qualities just mail me...
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini...
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni...
Sikuamini Macho Yangu Niliyoyashuhudia kwani sikuelewa Huo mchezo Unachezwa vipi na unakuwaje ,baada ya kuona hali halisi nimeamuwa itakuwa mwanzo na mwisho kukubli mialiko nisio ijuwa.
Salaam wa JF
Mimi kila siku uwa najiuliza kwa nini sisi Wanawake tuna huu wivu,
Kama mimi ni mdada na nina marafiki wa kiume yaani si wakimapenzi washkaji tu,
yaani mlisoma wote,
sasa mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.