Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani tuna landlord etu yaani tuko nae hapa hapa yeye hana mume alishaachika nadhan alitendwa sana enzi za ujana wake lakini naona tendo la kutokuwa na mtu linautesa sana jamani yaani yeye bila...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani hili mi naona kila mwanaume analo,kwa nini pindi ikitokea mwandani wako akikunyima haki ya ndoa lazima kuwe na UGOMVI either wa chini chini au live na ikitokea ukanyimwa two times au zaidi...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
History of Kissing Humans have a long history of kissing. Europeans kiss both cheeks. Parents kiss their child's cheek. The Intuit rub noses. The french kiss by... ;). Kissing, both casual and...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Hii stori imenivutia sana baada ya kuikuta kwene Blog mojawapo za Wabongo, nikaona ni vyema sana na sisi tupate somo hapa. Habari au stori yenyewe imepewa kichwa cha habari: Kisa Cha James...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. It's important to have a woman who helps at home. 2. It's important to have a woman who cooks from time to time. 3. It's important to have a woman who keeps the house clean. 4...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
My name is Sheela, am a 29 year old housewife. I have been married for almost 4 years now and we dont have any kids. I was not a virgin when I got married, having had a few affairs in school and...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Vive la différence! Kuna sentensi moja ambayo wanandoa wengi hupenda kuitumia ambayo ina makosa makubwa kupindukia nayo husema; “Kama mume/mke wangu angebadilika na kuwa kama ninavyotaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Love Or Infatuation? How to Tell the Difference? Someone wrote a newspaper columnist to ask how he could know if he was really in love. The columnist replied: “If you have to ask –...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajamii kuna jambo linanitatiza kikubwa katika familia yangu, wife anapenda sana kuomba hela toka kwa wazazi wake, au kufanyiwa service flani, but si kuwa amekosa kwangu la hasha, anadai...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
What Was the Last Thing You Learned From a Woman About Sex?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni tukio la kweli ambalo limetokea Juzi hapa nilipo kwa Kijana mmoja kapoteza maisha kisa penzi ka barmaid Kijana mwenyewe ana umri kati ya miaka 28 -30 hivi kachomwa kisu bar na kupoteza...
0 Reactions
211 Replies
16K Views
Jana, asubuhi maeneo ya Mbagala mama mmoja alizimia ghafla baada ya kuona asichokitegemea. Kwa muda wa miezi miwili mtoto wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja alikuwa anasumbuliwa na fangasi...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Hawa mabwana harusi sijui wanawaza nini?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE. HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
..Mkuu YoYo akiwa na waifu wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana. ..nyingine ya ukumbusho na 'wapambe' wa harusi Akielekea kwenye hoteli kwajili ya honeymoon..tunasikitika sana usafiri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi hawa ni marafiki wa kweli au ni wa mashaka?, wapo wananwake wa hivi pindi wakiwa na wanaume wao, wanawabembeleza lakini wana siri kubwa moyoni ya kuwatafunia mali zao tu, je wa kwako yukoje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muenzi Mke Wako Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza ifahamike mapema ninapozungumza dalili za asiyekupenda kwa dhati, sina maana nachonganisha watu katika ndoa zao, ila kuwatanabahisha kaka zangu kugutuka katika maisha yao ya kila siku...
0 Reactions
19 Replies
42K Views
hi
what is love....
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe. Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom