Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kila tarehe 10 march huadhimisha siku ya watoto wa mitaani kwani miaka kadhaa iliyopita tarehe na mwezi kama huo aliingia rasmi mitaani kama mtoto aishiye kwenye mazingira magumu hadi miujiza...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu...
0 Reactions
83 Replies
8K Views
Wakati mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja nchini China alipoweka tangazo kwenye ubao wa shule kuwa anatafuta mpenzi, alitarajia wanaume wawili watatu wangejitokeza lakini kwa mshangao wake maelfu ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua.... Utendaji kazi wangu umeathirika.. Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor, Nakuwa kama chizi kucheka na monitor.. Nalala late... Nachelewa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nisaidieni jamani nawatafuta my best friends JOHN CHAMGENI, HUBILA MASUNGA, GOZBERT CHAMGENI na KASIAN CHAMGENI.nitumie njia gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nasoma gazeti fulani, nikashangaa kuona kichwa cha habari: NDOA SI UPENDO! Nimeshangaa sana... Je wanaJF, NI KWELI NDOA SI UPENDO?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
.............well! it sounds like YES to my mind!NYUMBA NDOGOOZ ARE HERE TO STAY!karibu kila mwanaume mwenye ndoa yake lazima awe na ''kazi-ya-nje''. hata kama ni vipi,au hana ATAHAHA...
0 Reactions
326 Replies
20K Views
Size Does Matter In Switzerland There is controversy in Switzerland over a new brand of extra small condoms that has gone on sale for boys as young as 12. Called the Hot Shot, the condoms were...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kazi wana JF. Naomba tusaidiane kumshauri huyu dada yetu. Kuna dada nafahamiana naye vizuri yupo Dar na ana mtoto mmoja alizaa na bwana miaka kumi iliyopita. sasa nanasema amepata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1.Mwanamke unapokutana na mwanamme na majibu yako yakawa hivi mme--- Sister hujambo?.......majibu..sijajxxxxxba nikijxxxba nitakuambia unaelekea wapi mrembo?......majibu....ukubwani...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna mwanamke nampemda sana. Kila nionanapo nae uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu. Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Tusaidiane kumjibu huyu.. Mimi nina swali moja tu naomba wewe na wadau wengine muweze kunisaidia katika hili. Kuna mtu aliniambia kuwa asali na limao vinaweza kuufanya Uke uwe taiti. Je ni...
0 Reactions
62 Replies
26K Views
This is what she said I succumbed to his pressure to have sex with him, consequently, I lost my virginity to himsince whoever infected me did not mind about my life, I will also infect as many as...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo. - awe anatokea maeneo ya Tanga, Zanzibar au Kilwa - Awe mweupe na mrefu wastani asizidi cm 160 - awe mwembamba wastani yaani si...
0 Reactions
95 Replies
16K Views
Wakuu asalaam aleykum; Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma wakati wote huo akili yangu ilikua fast iki-reflect...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Herbert and Zelmyra Fisher of New Bern, N.C., hold the world record for life in wedded bliss: 85 years. He's 104, and she's 101. On their May 13 anniversary, they will join an elite club: the...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Hivi inakuwaje nikijaribu kupekua kurasa nashikwa mkono na kuelekezwa kwenye kipele, najaribu kusugua kipele mara natolewa mkono tena naelekezwa kwenye kurasa sasa mimi nashindwa kuelewa ni wapi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
YouTube- East African Kitchen Party haya mauno baraaaa
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Mapenzi ni kama ndoto, twaota ikatokea, Hata kuwe viroboto, kitandani yatokea, Iwe baridi na joto, na jasho kudondokea, Penda pale unapendwa, ni msemo wa kikwetu!! Mapenzi ni kama homa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…